Kina mama arumeru mfano wakuigwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina mama arumeru mfano wakuigwa.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PISTO LERO, Mar 26, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,822
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa jumamosi jioni,walipoingia kwenye kibasi wakiwa wamejitanda khanga mbili mithili ya watu waliotoka msibani walipo ulizwa walijibu kwa kifupi wametoka msibani kuizika CCM.wakiwa bado kwenye mjadala wakijadili kauli ya mkapa ya kitaka neki kuitangazia ushindi ccm kibabe,walisema olewao wajaribu na kuongeza kuwa watakua mstari wa mbele kuendesha mapambano,na kusema kaziyao kubwa itakuwa kuokota mawe na akina baba kaziyao itakuwa ni kuyarusha na kusema matatizo ya wameru akina mama ndio wanaoyafahamu.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,105
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  icho kibasi kilikuwa kinatoka wapi na kwenda wapi?
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  CCM kwenda CHADEMA
   
 4. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,575
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Alafu ukishaju,?......unataka utoe povu.......jinga
   
 5. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,822
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  asante kwa kumjibu
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Hizo ni mbwembwe za Chadema, hakuna kina mama wenye akili wanaotamka maneno kama hayoa:peep:
   
 7. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 673
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  subiri utaona!
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Arumeru hajuna kina mama wenye akili timamu? Kweli CCM mmefikia mahali pabaya kwa matusi!
   
 9. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwakuwa mshawafanya watu makauzu na wajinga ambao ndo mtaji wenu magamba!?.Wameru wanaakili zaid ya wewe mwenye dozi pale mirembe ya dom!.Rudi ukatibiwe tena hujapona na 2015 mtakojolea puani!
   
 10. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unadhani akina mama wote ni kama Viki mkamate aliyeolewa na sisiemu?
   
Loading...