Naibu Waziri anaposifia makampuni ya kigeni kuwepo Tanzania kama ni mafanikio muhimu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Waziri anaposifia makampuni ya kigeni kuwepo Tanzania kama ni mafanikio muhimu sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Capital, Mar 26, 2012.

 1. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 974
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Ndugu wanajamvi

  Nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu naagalia DAKIKA 45 ya ITV akiwa anahojiwa naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. ameongea mengi lakini alipoulizw kutoa kauli dhabiti kuhusu mabalozi wa Tanzania kuonekana kama watalii ughaibuni, nadhani mwendesha kipindi alikuwa akimaanisha hawa mabalozi hawana contribution katika maendeleo ya nchi yetu. Badala ya Naibu waziri kujibu hoja ameishia kusifia kuwepo kwa makampuni mengi ya kigeni huku akitaja kampuni la PETROBRAS la Brazil katika utafiti wa ges, aki-comfirm kuwa mabalozi siyo watalii bali wanafanya kazi.

  Maana yake ni nini wahishimiwa?

  Capital
   
Loading...