ADC yapata usajili wa muda.

ADC yapata usajili wa muda.

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
3,102
Reaction score
491
Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni
 
kile kinachoashiria mwisho wa uhai wa CUF na mwanzo mpya wa mabadiliko ya kisiasa katika Nchi yetu hii tukufu ya Tanzania, Leo chama kipya cha kisiasa cha ADC kimepatiwa usajili wa muda.
Habari zaidi tazameni television zote jioni ya Leo.
ADC - Dira ya Mabadiliko.
imagejpeg
 
Vipi mkuu muitikio wa watu.Walipata usindikizaji?
 
Big up Hasan kila la heri katika safari ya kujenga chama chenu.
 
Big up Hasan kila la heri katika safari ya kujenga chama chenu.

Ahsante sana Kinyungu......mwanzo mpya, ujio mpya huu......sera za kibaguzi HAZINA nafasi katika ADC, Yale mambo ya sisi wazanzibari wao wazanzibara AMA kwa sababu Kule kuna WAKRISTO NA WABARA WENGI ndio sababu tumeshindwa Hayana nafasi ADC.....lile ni sawa na PePO na Tulikemee!! Shindwaaa JuHA shindwaaaaa!!
 
Hapo vipi hapo!! Mwenyekiti Said Miraji akionyesha hati ya Usajili wa Muda nje ya jengo la Msajili wa Vyama vya siasa.
imagejpeg
 
vyama sasa vimekuwa NGO'S kila mtu anaamka na kuanzisha ya kwake
 
Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni

Unafikiri ni akina nani mpaka useme CHADEMA tujiandae?
 
Back
Top Bottom