Kikwete, Dr. Bilal na Pinda walikuwa wote Msoga leo.

Status
Not open for further replies.

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu wa nchi,inaelezwa wanatokea nyumbani kwa muhashimiwa rais Msoga....ambako walikuwa huko toka majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi..
Kama inavyooeleweka muhashimiwa huwa anakaa Msoga kuanzia ijumaa hadi jumatatu mchana kama akiwa nchini....ni dhahiri leo ameamua kuwaalika wakuu apate nao msosi .
Ndio tunajisogeza taratibu toka kwenye foleni ndefu ,nadhani tunaokaa kibaha leo nyumbani ni saa sita usiku kuingia..do...
 
poleni saana
sasa nani alikuwa in charge ikulu?au waliendesha nchi kwa simu from msoga?
hii nchi ni full comedy......
 
Mzee wa Bagamoyo, mzee wa Sumbawanga na mzee wa Pemba ndani ya Msoga! Kaaaazi kwel kwel!
 
Nilkutana na msafara mitaa ya Mwenge majira ya saa 8 kumbe ni hawa wahuni wanatusumbua na kutuweka mafoleni kwa mambo yao ya kifara.
 
poleni saana
sasa nani alikuwa in charge ikulu?au waliendesha nchi kwa simu from msoga?
hii nchi ni full comedy......
Kwani akiwa kwenye safari zake za utalii ughaibuni nani anakuwa in charge?
 
poleni saana
sasa nani alikuwa in charge ikulu?au waliendesha nchi kwa simu from msoga?
hii nchi ni full comedy......

In charge wa nini? wewe unafikiri nchi inaendeshwa! kwani ni gari hilo?
 
Nilkutana na msafara mitaa ya Mwenge majira ya saa 8 kumbe ni hawa wahuni wanatusumbua na kutuweka mafoleni kwa mambo yao ya kifara.

Mganga wa JK ....kamuagiza ili mambo ya nchi yatulie awapeleke na wasaidizi wake wakuu..watambike wote....nchi inaendeshwa kwa ndumba Nikki...sasa tambiko la kikwere,sumbawanga na Pemba ....nadhani mipete watakayopewa hapo wakitupungia tu Tunajeuka vipofu.....

Ikishindikana hiloo itabidi APELEke bunge lote watambikiwe na kula yamini ....
 
PolEni watakua walienda kwenye mikakati ya............................
 
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu wa nchi,inaelezwa wanatokea nyumbani kwa muhashimiwa rais Msoga....ambako walikuwa huko toka majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi..
Kama inavyooeleweka muhashimiwa huwa anakaa Msoga kuanzia ijumaa hadi jumatatu mchana kama akiwa nchini....ni dhahiri leo ameamua kuwaalika wakuu apate nao msosi .
Ndio tunajisogeza taratibu toka kwenye foleni ndefu ,nadhani tunaokaa kibaha leo nyumbani ni saa sita usiku kuingia..do...

Kuna siku ikulu itakua inaishi bundi tuuu!
 
sasa hawa jamaa wakipata ajali kwa mpigo nchi cjui ataongoza nani?? Au mama wa mjengon??
 
sasa hawa jamaa wakipata ajali kwa mpigo nchi cjui ataongoza nani?? Au mama wa mjengon??

Yule standard seven leaver mwalimu wa UPE ...darasa la kwanza na la pili...somo la kusoma,kuandika na kuhesabu.....

Anaandaliwa degree ya kununua ya Phd marekani
 
Yaani foleni ilizidi sana maana serikali yote ilikuwa nje mkoa kula weekend au ilikuwa wanapanga baraza jipya??kazi ipo ngoma zinagoma tu kila wafanyalo
 
Walienda kwa helicopter? Mbona wale FFU wanakoma. Viuno vyao na speed ile wakiwa wamesimama si vitafyatuka! toka msoga hadi dar!
 
Poleni sana na uchovu wa kazi ukijumlisha nakuwekwa kwenye foleni...ndo maana mie huwa naapa nikiotea gap lakwenda kupiga mishemishe nje ya hii Nchi haki ya nani sirudi mambo kama haya huwa yananikera sana.
 
Yaani foleni ilizidi sana maana serikali yote ilikuwa nje mkoa kula weekend au ilikuwa wanapanga baraza jipya??kazi ipo ngoma zinagoma tu kila wafanyalo

Searching.......connecting..the dots....baraza jipyaa???.....yeah....ikulu viadam"vinasa sauti"....vingi ...lingevuja....!!!...yap Msoga safi...kwa vikao vya Siri....
 
Mganga wa JK ....kamuagiza ili mambo ya nchi yatulie
awapeleke na wasaidizi wake wakuu..watambike wote....nchi inaendeshwa
kwa ndumba Nikki...sasa tambiko la kikwere,sumbawanga na Pemba
....nadhani mipete watakayopewa hapo wakitupungia tu Tunajeuka
vipofu.....
Ikishindikana hiloo itabidi APELEke bunge lote watambikiwe na kula
yamini ....

kwanza apeleke cabinet yote halafu kamati kuu ya ccm kisha NEC. bunge kuna wenye itikadi mbalimbali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom