Hivi kuna kiongozi wa kuaminika kabisa CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna kiongozi wa kuaminika kabisa CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 26, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Wnajamvi wenzangu, kuna wakati huwa nakaa na kutafakari kwa kina juu ya viongozi wetu wa CCM na kujiuliza maswali mengi saana, je kuna kiongozi leo hii wa CCM anayeweza kuaminika kabisa either awe analala kanisani kusali au awe anakesha msikitini, kweli wananchi wenye ufahamu na wasio kuwa washiriki katika kuhujumu keki ya taifa ambae tunaweza kumuamini?

  Lengo la msomi ni kuwa baada ya kupata elimu atatue matatizo yaliyo katika jamii, lengo la mwanasiasa ni kuwa baada ya kupata uongozi atatue matatizo katika jamii inayomzunguka. Malengo ya hao mawili yanalingana.

  Viongozi wengi wa CCM ni watu ambao baada ya kupata uongozi basi hufikilia ni wapi kwa kuchuma na kurudisha hela alizohonga wakati kuingia madarakani, kuna mbunge mmoja wa zamani wananchi wake walihitaji msaada wake akawajibu ‘si niliwapa hela wakati wa kampein mnataka nini tena?’ Sasa ukichukua sampling ndani ya CCM utakuta if not 100% then atleast 95% wako hivyo, je ni watu wa kuaminika?

  Mifano hai tunayo, mjadara wa katiba, mambo kadhaa ya watu kuhujumu taifa na kuwasaport n.k. most of them wanaangalia maslahi individually, sio ya Taifa! Je ni wa kuaminika hao? Raisi wetu nadhani ana washauri kwanza wavivu kusoma na ni wavivu wa kutumia akiri vilevile! Je wapo kweli viongozi wa kuaminika ndani ya CCM?

  Nawasilisha.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,287
  Trophy Points: 280
  Ni sawa na kutafuta Bikira uswahilini!!!!
   
 3. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Yeah, unajua An k Mar alijijengea umaarufu lakini nilivyo muona akichangia muswada wa katiba nikasema niwalewale!
   
 4. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tena maeneo ya uwanja wa fisi
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Wapi ndg yangu?
  Watanzania tumejichokea mpaka hatuoni. Angalia huyo tuliyempa kazi ya kutuongoza, watanzania hatukuona vizuri kumbe ana nazi badala ya kichwa
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  eeeh kumbe?
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  asilimia tano iliyobaki. wako kina sitta, mwakyembe, lembeli, manyanya nk.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Ban Ki moon ndiye kiongozi msafi aliyebaki ccm
   
 9. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hakunagaaaaa
   
Loading...