CCM yakodi genge la wahuni toka Ar kuletafujo Arumeru,Wanatembea na Majambia,Visu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yakodi genge la wahuni toka Ar kuletafujo Arumeru,Wanatembea na Majambia,Visu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 26, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hali isiyokuwa ya kawaida,ule uvumi wa CCM kukodisha watu kuleta vurugu umetimia.Kundi hilo jioni ya leo maeneo ya Leganga limevamia msafara wa CDM na kumkata kijana mmoja na jambia kichwani.
  Kijana huyo hivi yupo katika kambi ya CDM Elephant Logde akiandaliwa kupelekwa hospitali.Ni hali ya kusikitisha kwani iliendelea hivi,ninahofu vijana wa CDM wataamua kuanza kulipiza Visasi kwani wanao fanya huo uhalifu wanafahamika.
  Nawasilisha...
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wanafanya hivyo sio kwa ajili ya chadema wananfanya hivyo ili kuwatisha wapiga kura ili wajitokeze watu wachache ili wapate pa kutokea na utaona reaction yapolisi ndio utajua kuwa wametumwa
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Haya yalizungumzwa jana pale Transit Bar Leganga. Waloyasema na kuyapanga haya ni magamba na magwiji yao ya Taarab na mchezo ulipangwa kuanzia pale Bar kwa Tango kwenye show ya Taarab jana.

  Lengo lao ni vurugu ili vijana wengi wafungwe washindwe kupiga kura jumapili.
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wamefanya mengi sana hao wahuni! Wengine wamevalishwa magwanda ya cdm ili ionekane ndio wanaofanya fujo. Sisi tunawashtukia haraka maana wamevaa magwanda mapya kabisa, walevi na wanaanzisha vurugu kama wavuta bangi mambo ambayo wana cdm hawawezi kuyafanya maana kambi za jeshi la polisi na vifaa vya kivita vilivyomwagwa huko Arumeru, watageuzwa bucha. Ndio maana husikii hata mmoja amekamatwa na polisi wamezagaa kama bodaboda!
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mbaya sana hii ni kitu gani tena?
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sasa kama lengo limejulikana ni rahisi kujiepusha na mitego yao.
   
 7. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa hizi zina walakini
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  leta yako isiyo na walakini na kama huamini kinachoandikwa humu,nenda michuzi blog ya wahuni wenzako
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Wameru mmeona ccm wanavyofanya?
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ni haka kanchi hatuweza kutafuta kiongozi bila kupigana mapanga!?
   
 11. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CCM ni ndugu wa AL shababu na Boko haramu, kwa vitendo hivyo wala si shangai ila dawa yao iko jikoni karibu inipuliwa na tutawapa wanywe na hatbaki hat mmoja aneitwa CCM.
   
Loading...