Mahindi ya msaada arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahindi ya msaada arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by TWIZAMALLYA, Mar 27, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamiiforums nimesikia kuwa serikali imepeleka mahindi ya msaada Arumeru Mashariki.Swali najiuliza kama kweli kuna haja kihivyo kupeleka msaada Arumeru Mashariki, kwa nini wakati huu wa uchaguzi?.Je serikali imeshindwa vipi kuchelewesha kidogo kupeleka mahindi Arumeru mashariki mpaka uchaguzi upite?.Na je Ni Arumeru mashariki tu ndio kwenye njaa hapa Tanzania?,sehemu kama majirani zao wa Arumeru magharibi hawana shida ya chakula.Mwenye kuweza kuninyoshea haya anisaidie kwani naweza nikawa nimesikia vibaya.Nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM.
   
Loading...