Wabunge wawe wanavuliwa ubunge wao kabla ya kumaliza miaka 5

kijiichake

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
284
58
Napendekeza katika katiba mpya kiwekwe kifungu kitakacho wabana wabunge na kuwaengua, iwapo watakosa kuwatumikia wanajimbo waliomchagua. Nasema hivyi kutokana na tabia ya mbunge wangu wa rombo joseph selasini, kutukacha na kushugulikia maslahi ya tumbo lake na familia yake, kwa sasa rombo ni kama hatuna mbunge anae tuwakilisha, huyu selasini amekuwa kiguu na njia kuzitetea sera na miswada ya ccm bungeni, pia amekwenda kinyume na chama kilichompeleka bungeni Chadema, alipokuja kutuomba kura alituahidi kuja kuishi nasi rombo, pia akatupatia namba ambazo tutakuwa tunawasiliana nae nazo ni 0754580201, 0784580201. Namba hizo ukipiga hazipokelewi ama azipatikani, huyu mbunge amekuwa sharubaro, Mungu msaidie pesa mbili mramba, kesi aliyoifungua kupinga kushindwa kwake iishe mapema ili tukampate mbunge mpya mwanamke na sio sharobaro tena. Nitakusanya saini laki moja rombo nizipeleke kwa kamati kuu ya chadema ili inifutie uwanachama sharobaro huyu asiekuwa na utu. Kifo kilichomchukua Mh, Regia mtema, na jr sumari, kingekuja na huku kwetu rombo kituondolee mwongo huyu aitwae joseph selasini. Aliye karibu nae na amjulishe kwamba afanyayo sio mazuri hata kidogo, laana ya warombo haitamsaza yeye wala familia yake.
 
Mlimchagua au mlichaguliwa? C mlipiga kura ili awaletee maendeleo, unalalamika nn sasa, cuf nccr wamewafukuza wao fanyeni na nyie km madiwani wa Ar
 
Lile suala la kuzuiwa sukari kwenda rombo wakidai inaenda kenya kitendo cha yeye kuwa kimya nikajua teyari warombo hawana kitu tena pale. Fikiri mpaka walifikia uamuzi wa kupandisha bendera ya kenya
 
Napendekeza katika katiba mpya kiwekwe kifungu kitakacho wabana wabunge na kuwaengua, iwapo watakosa kuwatumikia wanajimbo waliomchagua. Nasema hivyi kutokana na tabia ya mbunge wangu wa rombo joseph selasini, kutukacha na kushugulikia maslahi ya tumbo lake na familia yake, kwa sasa rombo ni kama hatuna mbunge anae tuwakilisha, huyu selasini amekuwa kiguu na njia kuzitetea sera na miswada ya ccm bungeni, pia amekwenda kinyume na chama kilichompeleka bungeni Chadema, alipokuja kutuomba kura alituahidi kuja kuishi nasi rombo, pia akatupatia namba ambazo tutakuwa tunawasiliana nae nazo ni 0754580201, 0784580201. Namba hizo ukipiga hazipokelewi ama azipatikani, huyu mbunge amekuwa sharubaro, Mungu msaidie pesa mbili mramba, kesi aliyoifungua kupinga kushindwa kwake iishe mapema ili tukampate mbunge mpya mwanamke na sio sharobaro tena. Nitakusanya saini laki moja rombo nizipeleke kwa kamati kuu ya chadema ili inifutie uwanachama sharobaro huyu asiekuwa na utu. Kifo kilichomchukua Mh, Regia mtema, na jr sumari, kingekuja na huku kwetu rombo kituondolee mwongo huyu aitwae joseph selasini. Aliye karibu nae na amjulishe kwamba afanyayo sio mazuri hata kidogo, laana ya warombo haitamsaza yeye wala familia yake.

ulitaka akuletee maji na pesa na chakula hadi kwako?Watu wengine bana!Magamba hayaish mwilin kama perege!
 
sio hayo tuu? Ila kama wewe ulitazama kwa makini wakati waziri mkuu alipokuwa akiitimisha kikao cha bunge kilichopita, alitaja wilaya ya rombo ndio imeongoza kwa matumizi mabaya ya pesa za serikali zinazotolewa kama ruzuku kwa ajili ya maendeleo ya wilaya. Ambapo msimamizi wake mkuu ni mbunge wa eneo husika, na kwa sababu hiyo gawio la mwaka huu wa fedha za bajeti ya serikali wilaya ya rombo tumenywa kutokana na hesabu hizo chafu na mbunge sharubaro, tafakari ndipo ujue lisemalo lipo na kama halipo limeliwa ama kufichwa.
 
Mimi navyo mfahamu Selasini ni mtu makini, nimekuwa naye pale pugu parokiani akiwa kama mwenyekiti wa parokia naona alikuwa anasimamia mambo vilivyo, ila kwa hilo la ubunge sijui amekuwaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom