Katika harakati za kampeni za Ubunge huko Arumeru Mashariki sijawasikia wanasiasa maarufu Nape Mnauye na Zitto Kabwewakiwanadi wagombea wao huko.Kulikoni?
Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo...
Nimemsikiliza sana Mbowe na wenzake katika kampeni za uchaguzi Arumeru, amehamasisha wananchi kuhudhuria mkesha tarehe 1/04, huu ni uhuni. Anahamasisha vurugu. Kama kuna tume ya uchaguzi kwanini...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imejiapiza kuwa itatangaza matokeo ya uchaguzi mapema kwani ndiyo dhamira yao, na kuomba ushirikiano wa vyama.
Nec ilitoa kauli hiyo baada ya Chama cha...
CCM juzi katika kampeni mh. wao kampeni meneja luhanjo kaporomosha matusi kama maji,sasa jamani kampeni ni matusi kwa chadema au ni kunadi sera sijui katiba inasemaje hapa.
Ndugu zangu,
Ni nani hajawahi kuteleza? Sote tumepata kuteleza. Wengi wetu tumeteleza mara nyingi. Ndio maisha yalivyo. Muhimu kwa aliyeteleza ni pale anapoteleza kukubali kuwa ameteleza...
Habari zilizotufikia sasa hivi ni kwamba Jaji Fatuma Massengi amekataa ombi la NCCR Mageuzi kutengua matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa CCM Virajilal Jitu Son. Hii ndiyo hukumu ya kwanza...
Nassari nataka nikalie kama paka
Medeye amvaa Slaa kuhusu ardhi
Kupigana vijembe na kurushiana tuhuma kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika...
Tumeamua kwenda Arumeru ili kusaidia kwenye ulinzi wa kura za Chadema,nia yetu ni kuchangia katika mabadiliko ya taifa letu,viongozi wachache wa Chadema wakiachiwa peke yao mabadiliko yatachukuwa...
Vyama ninane ambavyo vimesimamisha wagombea katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki viko katika hatua za mwisho kusaka kura kwa wananchi kabla ya kupigwa kura Jumapili Aprili...
Wana JF kila kukicha unajionea Vituko,Jana katika Mkutano kata ya Kikwe kijiji cha Maweni mh Mwigulu baada ya kushindwa kufanya Mkutano wa Hadhara aliamua kufanya mkutano wa ndani na kuamua...
taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba baada ya hali kuwa mbaya kwa ccm huko arumeru aliyekuwa waziri mkuu ndg. Edward lowassa atapanda jukwaani live huko maeneo ya kikatiti kesho.
Pia kuna...
Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kampeni zinazoendelea Arumeru Mashariki.Wagombea wachuani,Joshua Nassari(CHADEMA) NA Siyoi Sumari(CCM) wanaendelea kutoa sera zao katika hatua hii ya lala...
UJAMAA- WHAT IT IS, WHAT ITS NOT
To embark on a study of any political philosophy it is first necessary to understand its cardinal principles. Ujamaa , loosely translated as family hood (...
Nimeongea na Daktari mmoja (tunafahamiana kwa muda mrefu sasa) anafanya kazi hospitali ya temeke.
kwa masikitiko makubwa amenieleza tukio lilitokea pale hospitali miezi michahe ilitopita, alikua...
SITTA, KILANGO, SENDEKA, WAHUSISHWA KUUANDAA
na Grace Macha, Arusha
ZIKIWA zimesalia siku tano kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, kampeni hizo zimeingia...
Wanajamvi hamjambo? Mie napenda kusema ukweli hata kama nikiusema huo ukweli nitauawa! Dunia ni tambara bovu huwa haina mwenyeji hata kidogo! Ila kwa CCM kama chama tawala sii rahisi kwao kuamini...
Kati kampeni za udiwani kata ya kiwira Zitto zuberi kabwe alisikika mara nyingi akimsifia sana slaa kwanza alisema DR Slaa ndie mtu aliye mfundisha kazi za bunge na kumpa uzoefu pamoja na mbinu...
Tuesday, 27 March 2012 20:33
Vijana katika kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni wakiwa wamebeba Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, Joshua Nassari baada ya kuwasili...