Inasikitisha Sana - Kutoka Temeke Hospitali

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Nimeongea na Daktari mmoja (tunafahamiana kwa muda mrefu sasa) anafanya kazi hospitali ya temeke.

kwa masikitiko makubwa amenieleza tukio lilitokea pale hospitali miezi michahe ilitopita, alikua anawahudumia watoto wadogo watatu ambao walikua na shida ya kupumuza, akawafungia mashine inayowasaidia kupumua, machine ile inahitaji umeme, baada ya masaa machache ya kutumia zile machine umeme ulikatika na wale watoto wawili wakapoteza maisha

huyu daktari anasema hali za wale watoto hazikua mbaya, kama wangepata huduma kama alivokua amepanga watoto wale wangepona, lakini kutokana na tatizo la umeme watoto wale hatukonao leo.

Hii ni habari ya kusikitisha na imetokea D'Slaam, kilomita zisizodi 10 kutoka IKULU!
 
ziko case za namna hiyo nyingi sana. Umeme ulikatika muh2 takriban wiki 3 na wagonjwa vwalikuwa wanakufa chini ya wadi walipokuwa wanatoka thieta kwa kukosa lift. umeme uko thieta lkn wadini hakuna. Mgonjwa akitoka thieta utambeba namna gani kumpadisha juu.
 
Kwa kweli kama hakutachukuliwa hatua za makusudi za kuiondoa CCM madarakani basi hali zetu zitakuwa mbaya sana.
 
ziko case za namna hiyo nyingi sana. Umeme ulikatika muh2 takriban wiki 3 na wagonjwa vwalikuwa wanakufa chini ya wadi walipokuwa wanatoka thieta kwa kukosa lift. umeme uko thieta lkn wadini hakuna. Mgonjwa akitoka thieta utambeba namna gani kumpadisha juu.

hii inasikitisha sana, yule daktari nimeongea nae anasema hajawahi kuwa na wakati mgumu kama siku hiyo kwa sababu wale watoto hawakua wa kupoteza maisha, lakini kwa kutokua na umeme wote watatu walifariki. . . INAUMA SANA!
 
Ndo maana kia siku nasema, na nitarudia kusema. Chadema wafungue TV kuelimisha watu mambo kama haya....

Usitegemee habari kama hivi kuzipata ITV au TBC.... Kuna mambo machafu yanaendelea nyuma ya pazia. Na hutayasikia hata siku moja.
labda uingie JF

Chadema wafungue TV na kuwaonyesha wananchi madhara ya serikali iliyopo madarakani....Kwa kufanya hivyo jamii itawaelewa kirahisi, na hawatatumia nguvu kwenye kampeni..

Naamini waTanzania wengi wana-lucky information, that why bado wajinga
 
Mfumo wa (information) habari uliiopo hapa Tanzania. Ni ku-favor serikali. Habari zinachakachuliwa... Ni kama jamii inafumbwa macho, kwenye mambo mengi sana.

Angalau gazeti la mwannchi inajitahidi. tunahitaji TV sasa.. Nina uhakika Chadema they can make their mind on this issue
 
Mitanzania mingi mijinga sana, acha ife tu.

Kaka sio kama ni wajinga. Elimu haijatosha bado...

information centres zetu zinachakachua information(itv, TBc, nk)... Watu hawapati uhalisia wa mambo. Sasa hapo unategemea nini???. Na kumbuka zaidi ya 75% people are uneducated. So rahisi sana kudanganyika.

Elimu ya uraia inahitajika, tena kwa kiasi kikubwa. Ndo maana nashauri chadema kufungua kituo chao cha Tv. Itasaidia sana kulete elimu ya uraia..
 
iko siku ngeleja atakosa oksijeni baada ya ajali huko tandahimba kisa ni kukatika kwa umeme na jenereta kukosa mafuta,hapa ndipo watawala watakapoelewa umuhimu wa umeme vijijini.
 
Nimeongea na Daktari mmoja (tunafahamiana kwa muda mrefu sasa) anafanya kazi hospitali ya temeke.

kwa masikitiko makubwa amenieleza tukio lilitokea pale hospitali miezi michahe ilitopita, alikua anawahudumia watoto wadogo watatu ambao walikua na shida ya kupumuza, akawafungia mashine inayowasaidia kupumua, machine ile inahitaji umeme, baada ya masaa machache ya kutumia zile machine umeme ulikatika na wale watoto wawili wakapoteza maisha

huyu daktari anasema hali za wale watoto hazikua mbaya, kama wangepata huduma kama alivokua amepanga watoto wale wangepona, lakini kutokana na tatizo la umeme watoto wale hatukonao leo.

Hii ni habari ya kusikitisha na imetokea D'Slaam, kilomita zisizodi 10 kutoka IKULU!

Ooooh, Only in Tanzania!!!???
 
iko siku ngeleja atakosa oksijeni baada ya ajali huko tandahimba kisa ni kukatika kwa umeme na jenereta kukosa mafuta,hapa ndipo watawala watakapoelewa umuhimu wa umeme vijijini.
Huwa hawakosi hawa. Wana bima za ARR, VX zao huwa zina majenereta, pia huwa wanatembea na ambulance ambazo ziko full equiped. Cha moto tutakiona sisi na jamaa zetu.
 
mkuu muulize mudhihiri kwa nini alikatwa mkono.
 
  • Thanks
Reactions: Tom
Na bado twaichagua sisim

Angel,Hata mimi huwa najiuliza,kulikoni?Kwani mtu anakuwa ameshikiwa bunduki?Kwanini wakati wa kupiga kura akili huwa inahama?
Halafu Doctor akigoma,sisi sisi,tunaanza kusema wauaji!!Je hao wanaozima umeme maeneo muhimu sio wauaji??
 
Kaka sio kama ni wajinga. Elimu haijatosha bado...

information centres zetu zinachakachua information(itv, TBc, nk)... Watu hawapati uhalisia wa mambo. Sasa hapo unategemea nini???. Na kumbuka zaidi ya 75% people are uneducated. So rahisi sana kudanganyika.

Elimu ya uraia inahitajika, tena kwa kiasi kikubwa. Ndo maana nashauri chadema kufungua kituo chao cha Tv. Itasaidia sana kulete elimu ya uraia..

we acha tu hakuna cha elimu wala nini shida zikituzidi mpaka kwenye kope za macho hatutahitaji kuambiwa na mtu tuaipigania haki yetu sasa hivi bado kabisa hatujaonja shida. watz bado hatujui shida ni nini ipo siku hatuhitaji CHADEMA ikuambia shehe wala padre mwenyewe utatoka kudai haki yao hiyo siku ipo inakuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom