lowassa kupanda jukwaani kesho-atakuwa kikatiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lowassa kupanda jukwaani kesho-atakuwa kikatiti

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by meningitis, Mar 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba baada ya hali kuwa mbaya kwa ccm huko arumeru aliyekuwa waziri mkuu ndg. Edward lowassa atapanda jukwaani live huko maeneo ya kikatiti kesho.
  Pia kuna taarifa za uwepo wa katibu mwenezi wa ccm kuanzia kesho.
  Tusubiri updates zaidi.

  Nawasilisha...
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hizi tetesi zimezagaa arusha nzima.bado sijapata comfirmation.ukweli utadhihirika soon.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nimezipata hizo kuwa atakuwa katiti na maji ya chai.
  Mytake:wacha wote waje ili aibu iwe ya wote,wasije leta visingizio.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nadhani baada yakutembeza mlungula anataka kuonyesha yeye ndio chanzo cha mafanikio.hajui kama wameru wameshaamua na hasira yao kubwa ni maji kwenda monduli wakati chanzo chake ni meru.
   
 5. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunasubiri
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmh, ukiwa na ujasiri wa aina hii katika kuleta maendeleo, 2days tu, Manzese panakuwa New York.
   
 7. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  huyu jambazi atawaeleza nini wananchi mpaka wakamwelewa??
   
 8. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amekumbuka shuka wakati kumeshakucha
   
 9. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi mzee wakaya? haji tena.
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kuna wakati tunajifanya hatuhofii kivuli cha lowassa baadaye tunajawa hofu baadaye tena tunamuona ni fisadi kachafuka hasafishiki.
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Duh mweupe sana,nafrahi ila jukwaani ni nothing
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ratiba ya mzee wa kaya ni baada ya uchaguzi wa arumeru,mark my words!
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Simple put this way....joka la kibisa halina madhara
   
 14. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  So......................
   
 15. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Hivi Lowassa yuko CCM Academia au CCM original?
   
 16. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tumemsikiasikia na kumsubiri weeeee, hadi jua limepotea sasa.
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nadhani ameamua 'kama noma na iwe noma'
   
 18. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli lowasa morani na hana aibu,kama kweli itatokea!!
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bora uje mwokozi wetu na kipenzi cha wengi Tz.lowasa waaa wanaweka wanatoa ushindi unakujaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 20. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona anajaribu kuvuta shuka mbu wasimuume visigino ilihali shuka lenyewe fupi
   
Loading...