Zitto awasifia Dr. Slaa na Mbowe

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Kati kampeni za udiwani kata ya kiwira Zitto zuberi kabwe alisikika mara nyingi akimsifia sana slaa kwanza alisema DR Slaa ndie mtu aliye mfundisha kazi za bunge na kumpa uzoefu pamoja na mbinu. Pia alisema bila umakini wa Slaa leo watanzania wasingejua kama kuna ufisadi BOT pia alisema chadema ni makini kwani kina viongozi makini kama Mboye.

Nikajiuliza hivi ni kweli Zitto alitangaza nia ya kupambana na Slaa kuwania Urais kwenye kura za maoni?
 
Enyi MAFISADI wote pamoja na chama CCM eleweni hili vema na kwa uwazi wake wote, ukweli wote ni kwamba;

... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????
 
Acha tabia ya kuongeza na kupunguza maneno. Zitto hakusema anataka kupambana na DR SLAA. Wewe ni mtu mzima na unategemewa tayari kuwa na uwezo wa kujicontrol, hivi vimaneno vya uzushi uzushi vinawashushia sana watu heshima ndugu yangu, Kwani unapungukiwa nini ukiandika ukweli? utaugua? utakosa pesa? vipi bwana.

Zitto alisema kama chama KITAMTEUA.

Au nyie wengine hampati usingizi mpaka nafsi zenu ziburudike kwa kusema uongo.
 
Hilo ndilo ninalolijua na ndilo Zitto alilosema nashindwa kuelewa sisi ni mijitu gani yaani tunashindwa hata kuelewa tunaposoma tena kwa lugha nyepesi lugha yetu wenyewe! Nadhani sisi ni wagojwa tunahitaji tiba kwanza kabla ya kuota mabadiliko!
 
Zitto ni mnafiki ,amejifanya kumtaja Slaa baada ya wadau wa JF Kumjia juu kwamba hatambui hata mchango wa Dr Slaa
 
Kati kampeni za udiwani kata ya kiwira Zitto zuberi kabwe alisikika mara nyingi akimsifia sana slaa kwanza alisema DR Slaa ndie mtu aliye mfundisha kazi za bunge na kumpa uzoefu pamoja na mbinu. Pia alisema bila umakini wa Slaa leo watanzania wasingejua kama kuna ufisadi BOT pia alisema chadema ni makini kwani kina viongozi makini kama Mboye.

Nikajiuliza hivi ni kweli Zitto alitangaza nia ya kupambana na Slaa kuwania Urais kwenye kura za maoni?

.
Mwana mpotevu kwa hakika akirudi kwa babae na kuungama kosa lake hupokewa, huvikwa joho na kuchinjiwa mwana mbuzi mnono. Ni kweli Zitto ni kajana mzuri sana na mahiri na jambo moja tu linaloweza kumfikisha katika kilele cha mafanikio yake katika siasa ni kukaa chini ya watangulizi wake wa kisiasa, kuheshimu taratibu na kushaurika. Mh Zitto ni miungoni mwa wanasiasa niliowatarajia kufanikisha lengo la kuikomboa Tanzania. Japo alinikwaza kwa haraka yake, kwa yeye kuiona hiyo mistake natangaza kumsamehe kabisa na ninamrudisha katika sehemu yake stahiki ndani ya moyo wangu. Big up Zitto, una nafasi muhimu sana katika siasa ya nchi yetu, usikubali kuyumbishwa/kujiyumbisha kwa vyovyote vile.
.
 
... after a witness of a nationwide fury over Zitto's most tragic stategic blunder in announcing his distasteful bid for presidency at a time of a crucial party business on the grounds of Mwanza and Arumeru Mashariki, the inexperienced CHADEMA political lieutenant reads before our eyes to be attempting a technical tactical political retreat with his mentors in mind.

CHADEMA, if you please you can very well choose to forgive BUT never to FORGET or get humbled at a mere retreat NOT accompanied by an unquestionable flow of actions and commitment to our fold. And that's it as you stay with eyes wide cast in the horizons ayonder.
 
Mkuu ulimuondoa moyoni kwa kuwa hakumsifia Dr. Slaa au kwa kuwa alitangaza kuutaka Urais kama chama kitampitisha? Vipi amekana kwamba hautaki Urais?
 
Sijui ikifika siku yenyewe na Zito aisipojitokeza kwenye kinyang'anyiro watu watasema nini!!
 
.
Mwana mpotevu kwa hakika akirudi kwa babae na kuungama kosa lake hupokewa, huvikwa joho na kuchinjiwa mwana mbuzi mnono...
Atapotea na kurudi na kuchinjiwa kondoo mara ngapi? Hao kondoo zizini atakaokuwa akichinjiwa mwana mpotevu mara kwa mara si wataisha sasa?
 
Enyi MAFISADI wote pamoja na chama CCM eleweni hili vema na kwa uwazi wake wote, ukweli wote ni kwamba;

... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

Mkuu naona hii kauli yako ni mpaka ukombozi upatikane... umekomaa nayo kweli big up..
 
... after a witness of a nationwide fury over Zitto's most tragic stategic blunder in announcing his distasteful bid for presidency at a time of a crucial party business on the grounds of Mwanza and Arumeru Mashariki, the inexperienced CHADEMA political lieutenant reads before our eyes to be attempting a technical tactical political retreat with his mentors in mind.

CHADEMA, if you please you can very well choose to forgive BUT never to FORGET or get humbled at a mere retreat NOT accompanied by an unquestionable flow of actions and commitment to our fold. And that's it as you stay with eyes wide cast in the horizons ayonder.

This is the reason I never desire reading Tanzanian English articles. Simple concepts are expressed in tough vocabs. Jifunzeni simple English.
 
Inadhihirisha kwamba Zitto ni mwanasiasa makini. Hawezi kuburuzwa na habari za mitaani na kusambaratisha chama.
 
Ndiyo maana nilisema it wasn't the right time to discuss his unofficial comments.
 
Back
Top Bottom