Mchagueni aliye tayari hata kuchangia Harambee

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kila kukicha unajionea Vituko,Jana katika Mkutano kata ya Kikwe kijiji cha Maweni mh Mwigulu baada ya kushindwa kufanya Mkutano wa Hadhara aliamua kufanya mkutano wa ndani na kuamua kufanyia Darasani huku wakichana Soda alisema ni vizuri kumchagua Siyoi ana Uwezo hata Mkimuita katika Harambee ataweza kuchanga kuliko Nassari
Nikiripoti kutoka AM ni mimi mgeni wenu wa JF
 
Tungeni story kama kawaida yenu
Tukutane siku ya hesabu
OTIS
 
Kweli hii kali ccm kufanya mkutano darasani. Lusinde alaaniwe milelel kujitoa na kuuza ubunge kwa malecela
 
Wana JF kila kukicha unajionea Vituko,Jana katika Mkutano kata ya Kikwe kijiji cha Maweni mh Mwigulu baada ya kushindwa kufanya Mkutano wa Hadhara aliamua kufanya mkutano wa ndani na kuamua kufanyia Darasani huku wakichana Soda alisema ni vizuri kumchagua Siyoi ana Uwezo hata Mkimuita katika Harambee ataweza kuchanga kuliko Nassari
Nikiripoti kutoka AM ni mimi mgeni wenu wa JF
Kumbe ubunge ni kwaajili ya harambee tu! Hii kali.
 
QUOTE=Chakunyuma;3580160]Kumbe ubunge ni kwaajili ya harambee tu! Hii kali.[/QUOTE]jamaa wameishiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom