Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe & co wanahamasisha vurugu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mzee, Mar 28, 2012.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,777
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Nimemsikiliza sana Mbowe na wenzake katika kampeni za uchaguzi Arumeru, amehamasisha wananchi kuhudhuria mkesha tarehe 1/04, huu ni uhuni. Anahamasisha vurugu. Kama kuna tume ya uchaguzi kwanini wananchi wapoteze mud wao kukesha? Nadhani ni muendelezo wa ile picha ya Lema kujipeleka mahabusu mwenyewe inaendelea.

  Jeshi limejipanga kukabiliana na uhuni wa CDM  CCM SOLDARITY FOREVER.

   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  badili rangi ya maneno kwanza, inaumiza macho sana.
  Haisomeki hasa kwa mobile.

  Weka angalau blue au dark pink.
   
 3. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ndo umeona umetoa stori ya maana sana?
  Haina mashiko.  QUOTE=Mzee;3580198]Nimemsikiliza sana Mbowe na wenzake katika kampeni za uchaguzi Arumeru, amehamasisha wananchi kuhudhuria mkesha tarehe 1/04, huu ni uhuni. Anahamasisha vurugu. Kama kuna tume ya uchaguzi kwanini wananchi wapoteze mud wao kukesha? Nadhani ni muendelezo wa ile picha ya Lema kujipeleka mahabusu mwenyewe inaendelea.

  Jeshi limejipanga kukabiliana na uhuni wa CDM  CCM SOLDARITY FOREVER.

  [/QUOTE]
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wewe unataka wakalale wamwachie nani kura zao? Tume ya uchaguzi,polisi,uwt wote wanalinda kura za magamba. Ushindi wa chadema unapatika kwa kulinda kura zao period.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  unaumwa kweli wewe............... tumeshiriki mikesha mingapi ya mbio za mwenge?

  imekuwaje wewe uwe msemaj wa jeshi ?? ina maana jeshi letu limeishiwa hadi kukachia wewe maamuma kuwa msemaji wao?
   
 6. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,265
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  umetumwa nini?
   
 7. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tehe tehe ... mnatishika mkiambiwa kura zitalindwa eh..mlishazoea janja janja...
   
 8. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mzee,nchonyo unakuwasha
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,594
  Likes Received: 4,153
  Trophy Points: 280
  Nadhani umemuelewa vizuri, na kama wewe ni mpiga kura wa arumeru mashariki basi mchague Joshua Nasary awe mbunge wako kuitikia wito wa kamanda Mbowe. magamba wenzio taarifa za kumtosa sioi kwenye sanduku la kura wanazo mlibaki wewe na wenzio wachache sana, hamzidi 15, wape taarifa. peopleeeeees!!!!
   
 10. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lazma tulinde kura zetu hata kama magamba (ccm)wameandaa magari ya washa washa na mabomu ya machozi hatutaondoka kamwe.
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,147
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha, jamaa anajaribu kusema nini?
   
 12. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 574
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  bado unahitaji kurudi darasani.,inaelekea unauelewa mdogo sana wa kupambanua mambo
   
 13. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeutafuta uchochezi kwenye maandishi ya rangi isiyosomeka bila mafanikio! Nimefuatilia kwa makini kauli za Mbowe & co kuona kauli za uchochezi bila mafanikio, zaidi sana nimeambulia kuona/kusikia wakihamasisha amani na ustaarabu, kwasababu hiyo nahitimisha kwa kusema mzee yaonekana wewe ni mtu wa vurugu na ni jadi yako/yenu.
   
 14. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,962
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Nimetafakati ni mpuuzi gani aweza Andika hii then nikaona I'D yako inaitwa Mzee nikaelewa, mnataka kuiba Kura? This time mtapata uja uzito !


   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mwanaume mwenzetu, lakini amini usiamini, jamaa anatumika na mashababi wngine!
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahahahaa........
  yu huwa anatokea kipindi cha uchaguzi mdogo tu!!
  nakumbuka Igunga alitokea, nikamshughulikia,
  akaanza kulialia kwa MODS na PM!!
   
 17. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,014
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hata huku kwetu tulikesha kulinda kura zetu,
  magamba yalishindwa kuchakachua kura za diwani wetu,
  polisi walipiga mabomu ya machozi, baruti, mpaka wakaishiwa,
  mwishowe wakamlazimisha m/kiti wa mtaa kutangaza matokeo saa saba za usiku, vinginevyo wasingeendelea kumpa ulinzi.
  Hongera kamanda Mbowe kwa kusisitiza hilo.
   
 18. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,014
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hata huku kwetu tulikesha kulinda kura zetu,
  magamba yalishindwa kuchakachua kura za diwani wetu,
  polisi walipiga mabomu ya machozi, baruti, mpaka wakaishiwa,
  mwishowe wakamlazimisha m/kiti wa mtaa kutangaza matokeo saa saba za usiku, vinginevyo wasingeendelea kumpa ulinzi.
  Hongera kamanda Mbowe kwa kusisitiza hilo.
   
Loading...