Tumeingia Arumeru kuongeza nguvu ulinzi wa kura zetu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Tumeamua kwenda Arumeru ili kusaidia kwenye ulinzi wa kura za Chadema,nia yetu ni kuchangia katika mabadiliko ya taifa letu,viongozi wachache wa Chadema wakiachiwa peke yao mabadiliko yatachukuwa muda mrefu na inawezekana kizazi chetu tusiyaone au kushuhudia matunda ya mabadiliko kama wenzetu Zambia wanavyo shuhudia,wapenda mabadiliko mlio karibu na maeneo haya naomba mjitokeze kwa wingi kuhakikisha jimbo linachukuliwa na Chadema!!natoa mwito kwa wapenda mabadiliko nchi nzima kushiriki katika mapambano ya ukombozi kwa sababu kazi hii ni ngumu kuachiwa watu wachache,Mungu ibariki Tanzani!!
 
Haigarimu phd kutambua kwamba mtu anaejitolea kuisadia CDM ana baraka kutoka kwa Mungu!!!
 
Tumeamua kwenda Arumeru ili kusaidia kwenye ulinzi wa kura za Chadema,nia yetu ni kuchangia katika mabadiliko ya taifa letu,viongozi wachache wa Chadema wakiachiwa peke yao mabadiliko yatachukuwa muda mrefu na inawezekana kizazi chetu tusiyaone au kushuhudia matunda ya mabadiliko kama wenzetu Zambia wanavyo shuhudia,wapenda mabadiliko mlio karibu na maeneo haya naomba mjitokeze kwa wingi kuhakikisha jimbo linachukuliwa na Chadema!!natoa mwito kwa wapenda mabadiliko nchi nzima kushiriki katika mapambano ya ukombozi kwa sababu kazi hii ni ngumu kuachiwa watu wachache,Mungu ibariki Tanzani!!

All the best Chadema na Makamanda wote waliopo Arumeru... Big up Rosemarie.
 
Tumeamua kwenda Arumeru ili kusaidia kwenye ulinzi wa kura za Chadema,nia yetu ni kuchangia katika mabadiliko ya taifa letu,viongozi wachache wa Chadema wakiachiwa peke yao mabadiliko yatachukuwa muda mrefu na inawezekana kizazi chetu tusiyaone au kushuhudia matunda ya mabadiliko kama wenzetu Zambia wanavyo shuhudia,wapenda mabadiliko mlio karibu na maeneo haya naomba mjitokeze kwa wingi kuhakikisha jimbo linachukuliwa na Chadema!!natoa mwito kwa wapenda mabadiliko nchi nzima kushiriki katika mapambano ya ukombozi kwa sababu kazi hii ni ngumu kuachiwa watu wachache,Mungu ibariki Tanzani!!

Haleluya!!! Tupige baragumu, tuyapulize matarumbeta kwa nguvu sana, adui atazikimbia silaha zake za kufisha. Tulianza na MUNGU tunamaliza na MUNGU.
 
Back
Top Bottom