William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by i pad3, Mar 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
   

  Attached Files:

 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Wanatakiwa wangapi? Naona mpambano ni mkuu kwa kuwa Ole Millya naye nfani ya nyumba! Nadhani huyu kijana na Ole Milly hawapikiki chungu kimoja kutokana na makundi ndani ya CCM. Namtakia kila la kheri ili JF ipate mwakilishi kwenye jumba pale Arusha.
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sijakuelewa mkuu
  huyu ni nani ?
  anakwenda kwenye kamati kuu ipi ?
  anakwenda kufanya nini ?
  tafadhari sana tupe up date
  .
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Ila tu wasije wakamhukumu kwamba ameshiriki kwenye JF ambayo utafiti wa akina Mukama ulionyesha kwamba JF ilitumika kuijeruhi CCM!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  @NY city Le baharia
   
 6. K

  KABUKANOGE Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo.

  Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono
   
 7. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hutakiwi kusema hivyo kila mtu anaruhusiwa kuchukua form na kujaza
   
 8. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hata mimi hio kitu nilikuwa naifikiria sana ila tuome Mungu wasije wakalleta vijembe vyao
   
 9. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ni mtanzania mwenzetu
  anagombea ubunge wa east africa.
  kamati kuu ya chama cha mapinduzi
   
 10. n

  nketi JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anaoelewa wachangie mi sielewi kitu hapo......
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duh ... mbona kama anatumia supu ya mawe
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  thanks
   
 13. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ana ujana gani huyu, halafu ni kijana wako wewe na nani? usijumuishe, wengine tukiona kijani, roho inachafuka!
   
 14. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo ndiyo amekaa Newyork City sanaa. Nafikiri maji ya chumvi yalimtafuna sana alipokuwa baharia enzi hizo.
   
 15. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Willy huna jpya
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kama yupo kambi ya Lowasa atashinda lakini kama yupo kambi ya 6 na mama ake hapiti.
   
 17. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu habari yako iko kiutata kidogo, tufafanulie kamati kuu ya wapi, nini kinaendelea?
   
 18. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hana jipya kivipi? nani anajipya sasa? kwanza watu wanayegombea naye huwajui.
   
 19. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kamati kuu ya ccmm ni kuhusu ubunge wa east africa.
   
 20. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Remeber niini jukwaa la siasa.
  So achana na comment za kuuza uza sura. Kama huna cha kuchangia soma za wenzako. Au ndo nyie mnachagua watu kwa muonekano wa sura.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...