Chopa ya chadema yawapa kiwewe ccm nao waleta mbili

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
38
Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo walete chopa mbili kujibu mapigo ya chadema maana chopa yao inatutesa sana hapa Arumeru.Habari hizi zimetoka ndani ya ccm na aliotoa habari hizi ameomwa asitajwe jina lake.
 
Tatizo CCM imefikia mwisho wa kufikiri, hawana jipya. Kazi iliyobakia ni kuchungulia majawabu toka kwa CHADEMA. Wakiona CHADEMA inafanya kitu na wao mara moja wanafuata mkia! Kwa nini tuwape watu dhamana ya kuongoza nchi wakati hawajui wafanye nini?
 
Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo walete chopa mbili kujibu mapigo ya chadema maana chopa yao inatutesa sana hapa Arumeru.Habari hizi zimetoka ndani ya ccm na aliotoa habari hizi ameomwa asitajwe jina lake.

Nini chopa walete Airbus ila wanakula matapishi yao na Mgombea wao wa "Kichina"
 
sasa wewe nawe tukuite great thinker? hili jukwaa linapoteza radha sasa maana huu ni umbea!
 
Kazi kuiga iga,mwigulu c walisema ktk moja ya mikutano kuwa ni ufisadi,sasa atajiteteaje aki2a nalo..kuwa ccm ni ufu
 
Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo walete chopa mbili kujibu mapigo ya chadema maana chopa yao inatutesa sana hapa Arumeru.Habari hizi zimetoka ndani ya ccm na aliotoa habari hizi ameomwa asitajwe jina lake.

let them bring it
 
hivi sioi amewahi panda chopa?
 
Sasa kama helikopta moja ambayo chadema wanatumia wao waliita UFISADI, hizo mbili ni nini sasa?
Na huko Tabora mbona walikuwa nazo tatu, kisa kulinda wezi wao wa madini. CCM bwana, si mchezo!
 
Ukweli ni kwamba CCM wana hali mbaya kiuchumi, sina hakika kama wataweza kujibu mapigo ya piopleeeeeeeezzzzzz!!
 
Back
Top Bottom