Nape na Zitto mbona hawasikiki Arumeru Mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Zitto mbona hawasikiki Arumeru Mashariki?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Ulimakafu, Mar 28, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Katika harakati za kampeni za Ubunge huko Arumeru Mashariki sijawasikia wanasiasa maarufu Nape Mnauye na Zitto Kabwewakiwanadi wagombea wao huko.Kulikoni?
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nape ni kwa sababu ya beef lake na Lowasa,Zitto hataki nyota ya kuandikwa magazetini ifukiwe na Joshua Nassari,Vicent Nyerere,Mbowe na Dr Slaa ha ha I am the boss
   
 3. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Zitto yuko ktk kampeni za chaguzi ndogo za madiwani! Alikuwa Mwanza now yuko Songea.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kule hamna unafiki ndo maana!
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ubunge na udiwani kipi kina tija?Kuna jambo....
   
Loading...