Ahadi za siyoi ni chakavu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi za siyoi ni chakavu...

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 29, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,588
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kampeni zinazoendelea Arumeru Mashariki.Wagombea wachuani,Joshua Nassari(CHADEMA) NA Siyoi Sumari(CCM) wanaendelea kutoa sera zao katika hatua hii ya lala salama.Wagombea hawa,kila mmoja ana timu 'imara' ya kampeni iliyotumwa kumpa ushindi mgombea wao.

  Nionavyo mimi,ahadi zote anazoendelea kuzitoa Siyoi Sumari,ima yeye mwenyewe au kupitia wapambe wake, ni chakavu.Zimepitwa na wakati.CCM ilikuwa na nafasi za kuyatelekeza inayoyaahidi sasa tangu enzi za Marehemu Jeremiah Sumari,baba wa Siyoi Sumari,aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo.Kuzirudia ahadi hizo ni danganya toto na ni mchezo wa kijinga.Wameru wameshajua.Wataonyesha ujuzi wao tarehe 1/4/2012 watakapoikataa CCM na ahadi zao chakavu.Watamvika Nassari taji la ushindi...
   
Loading...