Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepata taarifa kuwa hatimaye mwenyekiti wa CCM rais Kikwete mwenyewe kesho anaweza akapanda jukwaani kwa ajili ya kumnadi mgombea wa chama chake Sioi Sumari. Tusibiri kama kuna yaleyale ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sorry, I meant Lusinde (please ignore the name in the title) Nimeisikiliza na kusoma baadhi ya matusi aliyoyatoa Lusinde kwa viongozi wa CHADEMA nchini, nimesikitika sana, nimefadhaika sana na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kutokana na yale mapungufu ambayo tayari yamekwisha jitokeza katika uongozi wa ngazi ya juu ya serikal ibasi hatuna budi kwa wenye pages zote kuandika ni jambo gani lifanyike ilikujakuleta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MZEE NASSARY (mwenye suti nyeusi) NA MAMA NASSARY (aliyefunga kilemba cheupe) WAKIWASILI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA CCM KATIKA KITONGOJI ALICHOZALIWA NASSARY KWA NIA YA KURUDI KUNDINI ....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Arumeru Mashariki tutashinda. Tumewashika na wameshikika. Tumejiandaa kuhakikisha kwamba tunatangazwa washindi. Tumejiandaa pia kuhakikisha kwamba hakuna mkurugenzi wala msimamizi wa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni makamu wa kwanza wa Rais, wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar jumamosi atafunga kampeni kwa upande wa chama cha wanainchi CUF, na kusubiri maamuzi ya wanainchi...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Maskini chadema nayo inakufa kifo kama cha CUF inasikitisha sana hasa kwetu chama cha mapinduzi kwani tunakosa washindani. Katika hali ya kusikitisha kabisa wananchi wa Arumeru wamemdhalilisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika Hali Ya Kusikitisha Na Kushangaza Mkereketwa Na Mpenzi Wa Chadema Omary Amepotea hajulikani alipo kwa kwa muda sasa. Kwa walioko Arumeru Mashariki Omary ni yule kijana anaevaaga Kanzu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu,Benjamin William Mkapa almaarufu kama 'Mjuzi wa Ukoo' ameombwa kwenda kufunga alichokifungua Arumeru Mashariki.Hatahivyo,Mkapa ameonyesha dhahiri kusita kwenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Habar, Serikali imerejesha ardhi kwa wanakijiji baada ya mgogoro wa mda mrefu na JWTZ. Ni suala zuri je ni muda muafaka kurejesha nyakati hizi za Kampeni?? Source:Itv
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kutoa hoja kwamba mwaka huu uwe wa mabadiliko yatakayotokana na sisi wanyonge na silaha yetu kubwa ni kuwaumbua viongozi waongo, wababaishaji, wabadhirifu na wabinafsi. Tukiwafahamu kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CDM TV: Kuanzishwa wa CDM TV ni jambo ambalo linapigiwa debe na wana-CDM wengi, jambo hili sio jipya na limeshazungumziwa sana hapa kwenye JF na wana-CDM na wote wenye mapenzi mema na CDM kwa muda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa LAAC, Augustine Mrema Patricia Kimelemeta na Ramadhan Semtawa KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua tuhuma za ufisadi wa Sh2.7 bilioni katika mradi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jfm, Taarifa rasmi toka ndani ya CHADEMA Tanga,ni kuwa ndugu Zitto Kabwe atawasili kesho asubuhi ya saa tatu katika uwanja wa ndege na atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaji aacha kuandika ushahidi katika kesi ya Tundu LissuLeo siku nzima kulikuwa na majibizano ya kisheria kati ya wakili wa waleta maombi na wajibu maombi, lakini vitu vya muhimu vilivyojitokeza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza wiki iliyopita siku ambayo Dr.Slaa alihutubia.Wafuasi wa CCM walimpiga na kumvunja miguu kada mmoja wa CDM na Mwingine maarufu kama RASI walimpiga na alifariki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu. Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Imethibitika kesho magamba watafunga rasmi kampeni zao kwa kumpandisha jukwaani kamanda wa mafisadi asiyekuwa na aibu, kumpigia debe mkaza mwanaye sioi sumary.anapanda siku ya mwisho kwa kuwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Yupo kwenye mkutano ,alakini sijui ni mkutano wa ni.mwenye habari kamili atujuze.na vipi usalama wa kura zetu arumeru au ndio mambo yale yale ,tangaza tu mimi ndio nimesema,mod kanibania kuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…