Tetesi: JK jukwaani Arumeru kesho..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: JK jukwaani Arumeru kesho.....

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by bibikuku, Mar 29, 2012.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimepata taarifa kuwa hatimaye mwenyekiti wa CCM rais Kikwete mwenyewe kesho anaweza akapanda jukwaani kwa ajili ya kumnadi mgombea wa chama chake Sioi Sumari. Tusibiri kama kuna yaleyale ya Mkapa na Wasira ama atakuja na jipya jingine la kufungia mwaka. Huenda wakaambiwa kutajngwa flyovers mwezi ujao kuanzia USA River
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sidhani,íkiwa hivyo basì hatuna rais bali tuna mwkt wa ccm
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu fanya utafiti vizuri Jk anakuja tarehe 2 Aprili na atakuwa na ziara jimbo la arumeru magharibu pamoja na shughuli nyingine atazindua hospital.....
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Atawaambia (atawahadaa) kuwa tatizo la ardhi amelisikia, liko ndani ya uwezo wake hivyo atalishughulikia!!!. Na ili kuwapa moyo (kuzidisha hadaa) atawaambia tayari huko Moshono ameshafanya hivyo kwa kurudisha ardhi iliyokuwa chini ya JWTZ kwa wananchi. Hivyo wamuamini, waiamini ccm na kumchagua mgombea wa ccm!

  Tomaso na wasio Tomaso watarudi majumbani mwao huku wakitafakari waliyoambiwa lakini Jumatatu tarehe 2 April watamkuta mzungu anafurahia farasi wake wanavyopata hewa safi!
   
 5. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu chunguza vizuri jamaa yupo hapo Arusha hivi sasa
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Akidondoka tu ccm watashinda hila kama ajadondoka peoplezzzzzzzzzz!

  Kwhyo wanamtumia kama ramli ya kujua uchaguzi nani anashinda.
   
 7. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  I do not believe that JK is such an idiot
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Historia ya kudondoka mara kwa mara majukwaani inaweza kumuhukumu...
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa hujui kuwa Mwenyekiti wa CCM ndio Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Jk hajawahi kuhudhuria mkutano wowote wa kampen za uchaguzi mdogo wala hatohudhuria mikutano ya aina hiyo,nimewahi kumsikia mwenyewe akimwambia baloz mama maajar enzi zile akiwa baloz hapa Britain!
   
 11. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Afadhali aende naamini ndio anaenda kukimalizia chama chake....

  Ikumbukwe kuwa kuna kundi la watu tunaomshukuru Mungu kwa kutupa Kikwete maana katika kipindi chake ameweza kujenga hasa udhaifu wa chama na ulegelege wa hali ya juu.

  Hivyo tunashukuru kwa uamuzi wake wa kupanda jukwaani (kama atapanda) hiyo kesho...
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  Kumbe hammjui Kikwete huwa hapendi lawama hawezi kujihusisha na uchaguzi ambao CCM inaelekea kushindwa, nyie ongeeni na mkwe ajea ampigie kampeni mkaza mwana wake.
   
 13. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  maneno yake sio msahafu mkuu, things might change
   
 14. z

  zamlock JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nasikia jakaya kapigwa mawe arusha maeneo ya mianzini na wananchi wenye hasira naye
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mmeshindwa kumpiga mawe Lusinde na Mwigulu, mtaweza kumpiga mawe Rais Kikwete.
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi Kikwete ninavyomfahamu hawezi kwenda kupanda Jukwaani Arumeru kwa sababu yeye ni mtu wa kukwepa lawama. Anataka washindwe alafu aletewe mashtaka kwenye Kamati Kuu.

  Mara Ooooh Christopher Ole Sendeka alipiga kampeni chini ya kiwango kwa sababu alikuwa anamuonea wivu Lowassa kumuongezea Jembe bungeni. Mara Ooooh Lusinde ndiye kapoteza kura za chama kwa sababu ya matusi. Mara Oooh Nape alikuja dakika za mwisho wakati anajua yeye ndiye kijana pekee ndani ya CCM mwenye mvuto wa ahueni. Mara Ooooh Sioi alikuwa hauziki. Mara Ooooh Helkopta ilichelewa kuja Arumeru.

  Baada ya hayo mashtaka anawauliza wajumbe wa Kamati Kuu; 'Ndugu wajumbe tuhuma mmeziskia, tufanyeje?'. Basi hapo ndipo Kinana anaibuka na kusema Mheshimiwa Mwenyekiti nadhani ni busara ukafanya mabadiliko kwenye sekretarieti ya Chama. Basi baada ya hapo ndipo Kikwete unamskia anaibukia kwenye taarifa kwa Vyombo vya habari kwamba 'Mwenyekiti wa CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko kwenye Sektretarieti ya Chama cha Mapindunzi (CCM) kutoka na chama hicho kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Sasa hapo utaskia Nape nje, Mwigulu Nchemba nje, Chiligata nje na Wilson Mukana nae nje. Lakini yeye hajigusi!
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  Baada ya kushindwa Kinana atashauri iundwe tume ya kuchunguza kwa nini wameshindwa kwa vile anajua lazima yeye atakuwemo...posho bana we acha tu.
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Kinana tumeshamjua akiteuliwa kwenye tume tu anaanza kusumbua tender zoote anazitaka yeye hata kama hazihusu kampuni yake anajiona yeye ana stahili hizo tender sababu ni mteule wa JK..anasembua sana sana kwenye tender na kampuni zake hapa mjini
   
Loading...