Jk yupo arusha.vipi usalama wa kura zetu arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk yupo arusha.vipi usalama wa kura zetu arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by massai, Mar 29, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yupo kwenye mkutano ,alakini sijui ni mkutano wa ni.mwenye habari kamili atujuze.na vipi usalama wa kura zetu arumeru au ndio mambo yale yale ,tangaza tu mimi ndio nimesema,mod kanibania kuna thread niliitoa kabla sijui kwanini ime disapear ghafla.
   
 2. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dogo vp kwani jk ni watchman wa chadema?
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Msijali,wala hajaja kiivyo,ni mweupe sana 2 bora hata hizza tambwe
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kama unamsema ba mwanaasha si kweli kwamba ameshafika Arusha!
  Huenda wewe ulifanya confusion ya msafara wa Mahabusu wa Kinyarwanda ambao muda wote wanatembea na ving'ora!
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hivi baba Junior yupo wapi?
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  ilikuwa ya kipuuzi!!
   
 7. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180

  Na kipindii hii ving'ora vimezidi asee.

  Polisi vimeongezeka mara sabini na zaidi.
  Ambulance vimeongezeka kwa kama asilimia themanini.
  UN vimeongezeka kwa kama asilimia kumi.

  Kwanini viongezeke kipindi hiki haswa karibia uchaguzi? Kuna mzigo gani wa ziada wanabeba?
   
 8. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesho anamkutano na watu Wa takukuru mount Meru hotel kuna mpaka kwaya toka Dar imekuja kwa ajili hiyo.
   
 9. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Kura za CHADEMA zipo salama sana, hakuna wasiwasi,tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu,usiogope tutashinda
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nanyaro, naomba nikupe tahadhari. Kuna zoezi kubwa linaendelea sasa hivi, vijana wanapewa shs 100,000 toka mikoa toafuti waje Arumeru kupiga kura. Nimeifuma hii kwa kwa bahati leo, walimfuata ndugu yangu Karikoo akawaambia hana nafasi. Toeni tahadhari kwa watu na kama kawaida kumbusheni watu, kula ccm, lala CHADEMA.
   
 11. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata uchaguzi Wa 2010 kuna rafiki yangu aliitwa kwenda kupiga kura mwananyamala Dar toka Arusha.
   
Loading...