Zitto Kabwe kuunguruma Tanga kesho-uchaguzi mdogo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe kuunguruma Tanga kesho-uchaguzi mdogo!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Abdillahjr, Mar 29, 2012.

 1. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jfm,
  Taarifa rasmi toka ndani ya CHADEMA Tanga,ni kuwa ndugu Zitto Kabwe atawasili kesho asubuhi ya saa tatu katika uwanja wa ndege na atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata ya Msambweni katika viwanja vya Tropicana.

  Meli kubwa hiyo inapita,samaki wafuate meli kwani huenda kuna chakula kitatupwa huku na na huyu ndugu yetu!!
   
 2. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Komaa Zitto, komaa! mambo mengine tunajua ukikua utayaacha tu.....bado mdogo wewe!
   
 3. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prezdaaaaaaaaaaa zito z Kabwe, big up
   
 4. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Here you are!! Wacha ku-abuse lugha na maana unless ni muimbaji wa band zile zenye asili ya kongo,ongeza na papaaa ndama zitto,toleka!!!
   
 5. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huko makanisa ni machache nanyi siasa zenu ni makanisani.
   
 6. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huko makanisa ni machache nanyi siasa zenu ni makanisani.
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Waraabu wa pemba wanajuana kwa vilemba, kumbe na ninyi siasa zenu ni misikitini!!!!

  Tukutane 2015.
   
Loading...