Lowasa kesho jukwaani soko la kikatiti kumnadi mkaza mwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa kesho jukwaani soko la kikatiti kumnadi mkaza mwana

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kijenge, Mar 29, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Imethibitika kesho magamba watafunga rasmi kampeni zao kwa kumpandisha jukwaani kamanda wa mafisadi asiyekuwa na aibu, kumpigia debe mkaza mwanaye sioi sumary.anapanda siku ya mwisho kwa kuwa cdm hawataweza kujibu mabomu atakayorusha kwakuwa itakuwa mwisho wa kampeni.lakini wameru hawadanganyiki sio kama masai wanajua fisadi ni cheo.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwisho wa kampeni ni jumamosi, na siyo kesho Ijumaa kama unavyosema!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Do some editing pls apo Kwenye Mkaza mwana.
  Sisi wenye watoto wa kike tunaumia sana!
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  u can ignore the fact but u can not change it!
   
 5. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe mtoa habari,wewe hakimu,wewe my take du?
   
 6. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda mkaza mwana inatumiwa na waruguru sana morogoro, mara ya kwanza nilishituka na sikuelewa wana maana gani!
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Ataongelea ajira kwa vijana kama bomu linalongojea kulipuka..!
   
 8. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye hudhurungi pamenifurahisha, kiswahili kina kua kwa kasi.
  Mwisho wa kampeni ni Jumamosi, ndio atapigwa rungu la mwisho na kuisambaratisha magamba tayari kwa kifo cha J'pili.
   
 9. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  Kitaeleweka tu! Kumbuka mkutano unaodai El atamnadi sioi ni mmoja tu! Impact yake sio ya kutisha sana kama itakuwepo. lakini pia meru sidhani kama wanadanganyika kirahisi
   
 10. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hicho tu??!!! Tangu uingie humu jukwaani we ni mtu wa povu tu na mbofumbofu,i wonder leo umeishia kuongelea waruguru tu!!!!
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  January atayaelewa hayo maneno vema maana Tanga wanayatumia with no care in the world! very disturbing I must say.

  Nirudie maneno yetu ya kimeru, huyo baba mkwe nilidhani ni jasiri, sasa iweje ajifiche hadi dakika za mwisho ndio ajitokeze? Yale majigambo ya 'niko fit' yako wapi?
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Achana na hayo mambo aisee thread itahamishwa sasa hivi. Hii Habari inaweza ikawa sio sawa sababu mwisho wa kampeni sio kesho, au ccm wameamua kupumzika mapema.
   
 13. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,701
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  mkaza mwana?kijana taratibu utasababisha nisioze bint yangu akikua!neno linaumaaaa!by the way ni "mka mwana"
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nimetokea kumzika mfanyakazi mwenzetu maeneo ya Maji ya Chai, nikapata nafasi ya kudodosa mawili matatu na wazee tuliokua nao pale msibani kuhusiana na uchaguzi hapo jumapili, mzee mmoja akaniambia kama CCM watataka yale matukio yaliyotoke Meru wakati ule na kusababisha maafa makubwa basi walete kamchezo kachafu japokua wao hataki kabisa tukio lile lijirudie tena kabisa.
   
 15. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niombe radhi bwana abdillahjr.
   
 16. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kibali cha rufaa unacho?? Kwa kosa lipi kaka?!! Wacha spedi liitwe sipedi na kijiko kiwe kijiko!!
   
 17. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Heri Lowassa angejirudia Ujerumani kupima akili yake vinginevyo yeye na balaa lake liitwalo CCM wanapoteza muda. Heri angepanda tena Lusinde ili aendelee kuonyesha kichaa chake. Shame on all!
   
 18. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hyo avatar yako
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yote kwa yote mambo ni Jumapili, najua saizi Wameru wanajua mbunge wao tayari.

  Kampeni ya siku moja haiwezi kubadili msimamo.
   
 20. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio tusi wajameni hicho ni kipare halali.... Wala sio tusi.
   
Loading...