Mtaji wa chadema wazidi kupukutika Arumeru, Nape atua kwa kishindo

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Maskini chadema nayo inakufa kifo kama cha CUF inasikitisha sana hasa kwetu chama cha mapinduzi kwani tunakosa washindani. Katika hali ya kusikitisha kabisa wananchi wa Arumeru wamemdhalilisha Mwenyekiti wa Chadema Taifa (MBOWE) kwa kutojitokeza kabisa katika mikutano ya Kampeni licha ya kutembea na helcopta ya kuvutia watu wajae ni aibu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Mbowe kuhutubia umati kama huu MICHUZI na kuota ndoto za kuchukua Jimbo. Umati kama huo kwa CCM unahutubiwa na mwnyekiti wa CCM katika ngazi ya shina

Kwa wale wanachama, wapenzi na wakereketwa/mashabiki wa Chama kubwa CCM lisilo na mshindani mambo yanakwenda vizuri na tayari Katibu mwenezi wa Chama Nape ameshatua Arumeru na kuanza kuratibu sherehe za ushindi wa Sioi siku ya Jumapili.
 
Arumeru Mashariki inaweza kutupa washindi wawili: Mshindi wa kiti cha ubunge na mwinge ni Sitta. Huyu mzee hadi sasa ameamua kutokula matapishi kama Ole Sendeka!
 
Nape naye kaja kutukana kama Lusinde maana sera mmeishiwa mebakiza matusi.

Nape atadhalikika sana kama kaja.

Halafu Mr. Emmy acha ulongo wewe, TBC One tv ya magamba imeonyesha mkutano wa CCM ni aibu ulikuwa na watu wachache sana halafu wengi wanafunzi.

Ulipoonyeshwa wa CDM yaani ni full nyomi!!!

Sitakushangai endelea na utumwa wa akili ulionao.
 
Arumeru Mashariki inaweza kutupa washindi wawili: Mshindi wa kiti cha ubunge na mwinge ni Sitta. Huyu mzee hadi sasa ameamua kutokula matapishi kama Ole Sendeka!

Nape na Ole Sendeka ni wanafiki na wabwabwajaji tu,mara miezi mitatu wajivue gamba la sivyo tutawavua,hakuna kilichofanyika miezi 14 sasa,mara c.c.m itatawala milele,what a shame!huyu kijana asingeonewa huruma na kupewa hiyo post bila shaka angekua mpiga kelele wa vijiweni,maana sidhani kama elimu yake imemsaidia kumuelimisha na kusimamia kauli na maamuzi yake kama kiongozi kijana,mbaya zaidi kudhihirisha yeye ni mnafiki,kigeugeu na mbabaishaji,amekwenda kumkampenia yule yule ambae ametoka kwenye kambi ya huyo anamtangaza kua ni fisadi!unafiki mbaya sana!ngoja tuone msimamo wa 6
 
Kuna paka wa jirani wanamuita hilo jina,sasa sijui kafikaje huko unaposema au sio huyu wa jirani yangu?
 
Maskini chadema nayo inakufa kifo kama cha CUF inasikitisha sana hasa kwetu chama cha mapinduzi kwani tunakosa washindani. Katika hali ya kusikitisha kabisa wananchi wa Arumeru wamemdhalilisha Mwenyekiti wa Chadema Taifa (MBOWE) kwa kutojitokeza kabisa katika mikutano ya Kampeni licha ya kutembea na helcopta ya kuvutia watu wajae ni aibu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Mbowe kuhutubia umati kama huu MICHUZI na kuota ndoto za kuchukua Jimbo. Umati kama huo kwa CCM unahutubiwa na mwnyekiti wa CCM katika ngazi ya shina

Kwa wale wanachama, wapenzi na wakereketwa/mashabiki wa Chama kubwa CCM lisilo na mshindani mambo yanakwenda vizuri na tayari Katibu mwenezi wa Chama Nape ameshatua Arumeru na kuanza kuratibu sherehe za ushindi wa Sioi siku ya Jumapili.

Nape kaleta Hotpot na chupa za chai?hizi njaa nyingine bwana!aka Lusinde
 
Arumeru huko misalaba inagongana, CUF Mmecheza kweli kutoshiriki kwa siasa za makanisani zinazofanyika huko mngeambulia 0
 
Maskini chadema nayo inakufa kifo kama cha CUF inasikitisha sana hasa kwetu chama cha mapinduzi kwani tunakosa washindani. Katika hali ya kusikitisha kabisa wananchi wa Arumeru wamemdhalilisha Mwenyekiti wa Chadema Taifa (MBOWE) kwa kutojitokeza kabisa katika mikutano ya Kampeni licha ya kutembea na helcopta ya kuvutia watu wajae ni aibu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Mbowe kuhutubia umati kama huu MICHUZI na kuota ndoto za kuchukua Jimbo. Umati kama huo kwa CCM unahutubiwa na mwnyekiti wa CCM katika ngazi ya shina

Kwa wale wanachama, wapenzi na wakereketwa/mashabiki wa Chama kubwa CCM lisilo na mshindani mambo yanakwenda vizuri na tayari Katibu mwenezi wa Chama Nape ameshatua Arumeru na kuanza kuratibu sherehe za ushindi wa Sioi siku ya Jumapili.

Sasa mbona we ni wa kike lakini jina lako limeanza na Mr?
 
Masikini ya Mungu!
Na wewe ulishapiga bei utu wako kwa Lowassa mummy!
 
Maskini chadema nayo inakufa kifo kama cha CUF inasikitisha sana hasa kwetu chama cha mapinduzi kwani tunakosa washindani. Katika hali ya kusikitisha kabisa wananchi wa Arumeru wamemdhalilisha Mwenyekiti wa Chadema Taifa (MBOWE) kwa kutojitokeza kabisa katika mikutano ya Kampeni licha ya kutembea na helcopta ya kuvutia watu wajae ni aibu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Mbowe kuhutubia umati kama huu MICHUZI na kuota ndoto za kuchukua Jimbo. Umati kama huo kwa CCM unahutubiwa na mwnyekiti wa CCM katika ngazi ya shina

Kwa wale wanachama, wapenzi na wakereketwa/mashabiki wa Chama kubwa CCM lisilo na mshindani mambo yanakwenda vizuri na tayari Katibu mwenezi wa Chama Nape ameshatua Arumeru na kuanza kuratibu sherehe za ushindi wa Sioi siku ya Jumapili.

Mods fungieni hawa wahuni.Huwezi leta uongo wa kihuni ukaachwa hivihivi
 
Nape sio kiumbe chakuisumbua CHADEMA,waku isumbua CHADEMA bado ajazaliwa.uyo pungatu kama punga mwenzake Sioi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom