Ya Igunga Yatokea Arumeru Mashariki, Omary Apotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Igunga Yatokea Arumeru Mashariki, Omary Apotea

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Puppy, Mar 29, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Katika Hali Ya Kusikitisha Na Kushangaza Mkereketwa Na Mpenzi Wa Chadema Omary Amepotea hajulikani alipo kwa kwa muda sasa.
  Kwa walioko Arumeru Mashariki Omary ni yule kijana anaevaaga Kanzu ya Chadema katika mikutano mingi ya. Kampeni.

  Hope atapatikana soon akiwa mzzima.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mungiki wa Musoma waulizwe
   
 3. Mbassa

  Mbassa JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 247
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Chonde chonde, apatikane akiwa hai, la sivyo patachimbika.
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mungu amnusuru na hawa wauaji wa nyerere.
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ya rabi toba
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Usalama wa ccm wanajua alipo.
  Wakija kutuletea kama za Balali eti alijizika mwenyewe Patachimbika!
   
 7. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duuuuuuuuuuu!!! kweli haki haiwezi kushuka kama mvua
   
 8. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao hao waliomuuwa nyerere watuletee mtu wetu haraka
   
 9. S

  STIDE JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nilijua yatatokea haya baada ya kusikia BWM anazindua kampeini!!
  Huyu jamaa namuogopa kuliko UKIMWI!! Kama huamini muulize Mwakyusa kuhusu kifo cha Baba wa Taifa!!
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Aulizwe Beno malisa,ni saspect.Naskia alikuwa nae usiku triple A pakatokea mabishano akawaamuru wapambe wake wamshughulikie.
   
 11. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Na huyu naye? Wanataka kumtoa kafara,au tambiko la ushindi wao hao chinjachinja? Mungu na awalaani kabisa endapo kama watam Nyerere,kama ilivyo kawaida yao.
   
 12. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Jamani yule marehemu wa Igunga alikufa kikatili!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280

  Kuhusu Benno kuhusishwa nimeisikia pia, Watu wanajipanga jinsi ya kumpata Omary na kujibu mapigo.
  Wanasema wanamtaka Ommy akiwa mzima lasivyo itakuwa tofauti kidogo.
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ama kweli hawa sisiem ni janga jamani kwa jamii yote ya Nchi yetu!
  Ila hapa Meru safari hii itawavunza adabu.
   
Loading...