Hii ya serikali kurejesha ardhi arumeru nyakati hizi imekaaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya serikali kurejesha ardhi arumeru nyakati hizi imekaaje??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mnyanyaswaji, Mar 29, 2012.

 1. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau Habar,
  Serikali imerejesha ardhi kwa wanakijiji baada ya mgogoro wa mda mrefu na JWTZ. Ni suala zuri je ni muda muafaka kurejesha nyakati hizi za Kampeni??

  Source:Itv
   
 2. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tyson mambo yalipomzidi ulingoni aling'ata sikio la mpinzani!!
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ghiriba tu. Ila maandamano yanajibu, ngoja wananchi wajipange kuandamana kwa kila kero.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unafiki wao tu! tungekuwa na wananchi wasiorubuniwa hovyo na vtu vidogovidogo hapo ndo palikuwa wazi pa kuona hayo na kuwanyima kabisa kura!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  una uhakika ardhi iliyorudishwa ni ya arumeru?
  Hata hivyo hatua ya namna hii inatokana na misukosuko kutoka kwa cdm.
   
 6. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na wananchi kama kawaida makofi kibaoo. Washasahau kama wanachotwa akili nyakati hizi
   
 7. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jackbauber, yah according to mkuu wa mkoa Magesa. Tena wamesisitiza imerejeshwa kwa wanakijiji na serikali kupitia raisi baada ya mgogoro wa muda mrefu na Jwtz.
   
 8. w

  wa home JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kama kweli ardhi imerejeshwa ujue ni njia ya kuwapoza wananchi ili wapewe kura ila watanzania wameamka, hilo halipo.
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  una uhakika ardhi iliyorudishwa ni ya arumeru?
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mi natamani wabunge wawe wanakufa tu au wajiuzulu labda maendeleo yatapatikana imenishangaza sana magamba!
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii habari imenisikitisha sana..CCM na serikali yake inatutukana watanzania na hasa wana-Arumeru.Hii ni njama ya wazi kabisa kuvuta hisia za watu kuelekea CCM..hakika kama watanzania na hasa wana-Arumeru tusipowaadhibu CCM na serikali yake kwa matusi haya,nitaumia sana tena sana.Mgogoro huu umekuwa pale kwa muda mrefu sana,iweje leo ndio wajifanye wanakuja na suluhisho tena linaloonyesha ni mbinu chafu ya kuwadanganya watanzania.Wana-Arumeru kataeni matusi haya.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Rais ndiye Amiri Jeshi mkuu hivyo rais kutwaa ardhi ya jeshi ni sawa na yeye kunywa soda.
  Sasa afanye hivyo kwa 'wawekezaji' wa Arumeru. Hapo ndio tutasema amerudhisha ardhi otherwise huu ni usanii.

  Kwa upande mwingine huu ni ushindi kwa CHADEMA. Kama sio kibano cha CHADEMA kwa CCM ni lini rais angenyanyuka? Wananchi wameanza kupiga kelele leo?
   
 13. n

  nkundaruwa Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa imekuwa ngumu. Wapinzani wamewashika pabaya mno. Kwao, hiyo ni single ya kutokea
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa wilaya amewaambia wananchi kwamba yeye kwaniaba ya rais wa jmt ambayo inaongozwa na ccm ameamua kusikiliza kilio chao cha mda mrefu,hili ni changa la macho kuomba huruma ya wananchi huko arumeru,hapa wananchi watafute mwanasheria kesho waandikishiane mikataba kabla ya uchaguzi maana ikipita uchaguzi imekula kwao!
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  moshono tanganyika perkas jwtz ni jimbo la lema ars mjini ila kasehemu kadogo sana ya iliyorejeshwa ni jimbo la arumeru magharibi kwa mbunge Ole medeye kama unaelekea mnada wa olokii mpakani mwa njiro.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ardhi inayolalamikiwa kwenye kampeni ni ardhi inayomilikiwa na walowezi, ambayo wanaitumia kwa kilimo cha maua.
  Ardhi iliyorudishwa kwa wananchi wa Chekereni ni ile iliyokuwa na mgogoro na jeshi, ambayo hata hivyo ilikuwa bado iko mikononi mwa wananchi, kilichofanyika ni kuwamilikisha wananchi.
  Ardhi ya Meru inayomilikiwa na Wazungu ccm hawana ubavu wa kuirudisha kwa wananchi kwani walimilikishwa kwa mkataba wa miaka 100. Mbaya zaidi hayo mashamba ya maua yamekuwa chanzo cha meru kukosa mvua ya kutosha, kutokana na kwamba maua hayahitaji mvua. Wingu likishatanda wanachofanya wazungu wanapiga bomu la kupoteza mvua, na mawingu yanapotea. Kuna taa moja wameifunga maeneo ya Triple A, ambayo ina monitor mvua isinyeshe.
  Ni CDM pekee kwa kutumia nguvu ya umma ndiyo yenye uwezo wa kuirudisha ardhi ya Meru kwa wameru wenyewe.
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  sio eneo la uchaguzi,ni mpaka wa mbunge lema pale moshono na arumeru maghribi kwa Ole medeye ktk kata ya mlangarini,JACB AHSANTE ILA WAPE UFAFANUZI PIA
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ardhi iliyorudishwa haiko Arumeru Mashariki, iko kwa Lema. Zamani ilikuwa kwa Olemedeye/Elisa Mollel
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mungi upo vzuri,mleta thrid atakuwa anaishi mpanda kati Kwa Said Arfi,sie 2po arusha na 2na mashamba huko chekereni,arumeru mashariki hapo ni mbali.pale ni kwa KAMANDA LEMA,NA NI MATUNDA ya maandamano.
   
 20. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kuendelea kuchagua CCM ni dalili kwamba wewe ni maiti
   
Loading...