CCM waliombe radhi taifa kutokana na matusi ya Silinde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waliombe radhi taifa kutokana na matusi ya Silinde

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Lukolo, Mar 29, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sorry, I meant Lusinde (please ignore the name in the title)

  Nimeisikiliza na kusoma baadhi ya matusi aliyoyatoa Lusinde kwa viongozi wa CHADEMA nchini, nimesikitika sana, nimefadhaika sana na nimefedheheshwa sana kwa chama chenye heshima kama CCM kusimama mbele za watu: akina mama, akina baba, watoto, vijana, mtu na mwanae, mtu na mkwewe nk waliokuwepo kwenye mkutano na kuongea maneno kama yale.

  Kwa ajili ya kujenga harmony kati yetu, nadhani ni busara sana kwa CCM taifa ikiongozwa na mwenyekiti wake, kuliomba radhi taifa na wanameru wote waliodhalilishwa mbele ya watoto wao, wakwe zao na wazazi wao. Kushindwa kufanya hivyo, kutamaanisha kwamba Kikwete, Mkama, Nape, Makamu wa Rais, waziri mkuu, na baraza lote la mawaziri kwa pamoja wamekubaliana kutoa kauli kama hizi mbele ya jamii ya kitanzania, ambazo ni kinyume na maadili ya mtanzania na mwafrika kwa ujumla.

  Napendekeza wana JF, tuwape CCM muda kamili wawe wameomba msamaha, la sivyo hatua makini zilichukuliwe dhidi ya chama hiki.
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  unamfahamu silinde?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wewe unaota,SILINDE UNAMFAHAMU?
  Silinde yupi unaemzungumzia
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  amekurupuka!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu ulimaanisha Lucinde?
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  msaidieni msimtukane
   
 7. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna matatizo ya kukatika kwa umeme, nafikili hili ndo la kuombwa radhi
   
 8. e

  evvy Senior Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amekurupuka huyo...
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Nadhani ulimaanisha Lusinde a.k.a Kibajaji mbunge wa Mtera bingwa wa mitusi wa taifa na sio Silinde mbunge mstaarabu wa Mbozi (CHADEMA).
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuna ombwe la typing error hapa jf!
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sorry wakuu nilimaanisha Lusinde. Sorry sana!! Nimeshidwa kuedit title, naomba mods wasaidie.
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Bandugu msimshambulie sana member hata mimi kuna wakati nilijikuta nataka andika 'SILINDE' badala ya 'LUSINDE'. The hot topic ni matusi ya LUSINDE jukwaani. Ujumbe wa member umeelewaka sana kuwa 'CCM waliombe radhi Taifa kutokana na matusi ya LUSINDE'
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Naomba nitajiwe matusi matano alotukana huyu zuzu wa mtera
   
 14. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona tunamshambulia badala ya kumwambia ai edit habari na kuandika Lusinde na siyo silinde ili tuweze kuijadili habari,hata mimi huyachanganya sana haya majina
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pia naomba kujuzwa endapo SIOI atashinda,na akatokea mtu akaenda mahakaman kupinga ushindi wake(SIOI),kutokana na matusi ya LUSINDE,kuna uwezekano huo uchaguz ukarudiwa?@wadau jf
   
 16. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hasaa, nilimaanisha Lusinde, wala sijui nilitelezaje hadi nikamwita silinde. Nimejaribu kuedit hiyo title nimechemsha. Wala sijui ufundi wake upoje.
   
 17. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,994
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  lakini wakuu...huyu dagaa tutakuwa tunamuonea tu. huyu kafuata nyayo za papa - aka mkapa.

  mkapa kuanzia day 1 ya kampeni alitoa tusi zito ambalo sidhani kama lina tofauti yoyote na haya ya huyu bwana-mdogo. literally alimwita mtoto wa mtu (vincent nyerere)eti ni "bastard" , hilo ni tusi dogo?

  tuanze na huyu chinga nkapa kwanza!!
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kuna hadi evidence ya video kwa hiyo ni obvious hii itakuwa ni evidence ya ushindi feki. Mbona wao wamemshitaki Lema kwa kusema Batilda ni mja mzito. Sasa hawa wanaowaita wanaume wenzao wana mimba je?
   
 19. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Ok,ok ameshaedit title mkuu! He mean haka ka LUCY Kule Armr
   
 20. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama umeelewa unataka nini tena?

  Hii ndo shida ya watanzania, badala ya kuongelea issue, mnapick one little thing na kukifanya ndo issue!!
   
Loading...