Chopa ya Magambaz yatua Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chopa ya Magambaz yatua Arusha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PakaJimmy, Mar 29, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane routes na mikakati!

  Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam, na ina Registration No:5H-EXP.
  Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5 asubuhi hii.


  (Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo hiyo exactly)
  chopper.jpg
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kweli our country is done by ccm , wanapenda kuiga
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hawana original ideas. ni copy & paste
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani hawa si walisema kutumia chopa ni ufisadi?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
  Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
  Pooooh!
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mwigulu si alisema kutumia helcopter ni ufisadi?
  Ama kweli nyani haoni ku.ndu.le.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Walisema ni ufisadi kutumia chopa...vipi iemkuwaje wanaiga....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Maji ya shingo.....
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanakumbuka shuka tayari kumeshakucha.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CHADEMA kinaongoza, CCM wamebakia ku-desa!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160

  Hili gamba halinaga aibu!
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hata mimi nashangaaa
   
 13. y

  yplus Senior Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na lusinde alisema,siku zote askari wa nchi kavu ndio huwa wanateka nchi.cdm wanapita andani,ccm wabateka jimbo mchana kweupe....
  Sasa leo na ccm wanataka kupita angani,angalieni msije mkagongana huko kwenye atmosphere...
   
 14. y

  yplus Senior Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua cdm haina choper.ile chopa ni mali ya ndesamburo,wanacho weka wao ni mafuta sasa ccm waangalie wasije wakangurumishiwa maskendo tena,mara jela za uvccm,mara za wapi...
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Wajidai wao baba vyama vingine watoto sasa inakuwaje baba anamwiga mtoto au ndo maujanja yameisha? CCM wamekwenda kuburudisha wananchi wa Arumeru na ndo maana watu wakiona lile gari la TOT basi wanakimbilia mkutano na CCM inajifariji "timepata umati mkubwa" Hv bado Original Comedy bado wapo Arumeru wakijimaliza kisanaa au wamerudi Dar.?
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida chama cha kufadhiliwa, hii chopa nayo itakuwa ya hao wezi wa rasilimali zetu a.k.a. wawekezaji! CCM mtaendelea kuuza nchi mpaka lini?
   
 17. y

  yaya JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, mtu mwongo siku zote huwa hana haya (aibu), yupo tayari kula matapishi yake.
  Hivyo usiamini walisemalao, they really don't mean it!

  Wako tayari kusema hapana huku wakimaanisha ndiyo and vice versa.
   
 18. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa CCM huwa hawana aibu machoni mwa watu, Kibajaji alisema wananchi wasusie chadema kwa kutumia mil 60 kila siku kwa kutumia helikopta, akasema kila saa moja hutumia 2million sasa wao wameleta helikopta inayotumia nini au haina gharama.
  Huyu Kibajaji na Mungulu ni ndumilakuwili huyu matusi yamemjaa mwenzie uzinzi.
   
 19. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wanakumbuka shuka alfajir
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  CCM kwenye uchaguzi wa Arumeru imekuwa ikiji contradict kwa extent ambayo hana mtoto mchanga anaoweza kung'amua. Haihitajiki mtafsi kuwaeleza watu aina ya chama na watu wanaokiongoza na malengo yao kwa Watz. Kwa msingi huu na kwa kwa mfano huu mdogo wa "helcopter hatutumii then tunatuamia" ni tochi ya kuwaambia wenye akili timamu wasiipe kura CCM chama cha Matapeli na waongo. Kitakachoshangaza ni kuwa bado waliofanywa mazezeta na CCM watakipigia kura.
   
Loading...