CCM waua na kumvunja mguu kada wa CHADEMA Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waua na kumvunja mguu kada wa CHADEMA Mwanza

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Idimulwa, Mar 29, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza wiki iliyopita siku ambayo Dr.Slaa alihutubia.Wafuasi wa CCM walimpiga na kumvunja miguu kada mmoja wa CDM na Mwingine maarufu kama RASI walimpiga na alifariki Dunia muda mfupi baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Kirumba:Ajabu Jeshi la Polisi na Media wako kimya mpaka sasa.

  Hali ya CCM ni mbaya sana huku CDM chini ya uongozi wa wabunge Wenje,Kiwia,Machemuli na madiwani wote wa CDM,bila kuwasahau BAVICHA jijini Mwanza wakiwa wamejizatiti vilivyo kuitetea kata hiyo,kampeni nizile za nyumba kwa nyumba,mtu kwa mtu,kitanda kwa kitanda na mtaa kwa mtaa.Mpaka dakika hii makamanda wanashambulia katika kitongoji cha Kabuhoro huku zomea zomea kwa mgombea wa CCM ikizidi mitaani na mpaka sasa ameamua kutembelea gari ambalo ni TITEND.Jumamosi ZITO KABWE atakuwepo kuhitimisha kampeni na ndiye aliyezindua pia kwa kishindo

  Toka Kirumba Mwanza ni mimi Kamanda IDIMULWA wa JF kanda ya Ziwa.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haaaaah!!!!
  Hawa jamaa ni hatari sana, huko Arusha nasikia kada mmoja kapotea siku tano saizi.

  Hawa magamba hawafai kabisa.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duu sisiemu ni mafioso!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  halafu polisi wananyamaza kimyaa as if haliwahusu
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  VAMPIRES at blood feast!
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Sio polisi tu na waandishi wa habari wako kimya.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hawa ccm wameishiwa sera wakaamua kutukana na sasa wameona haitoshi wameamua kuuwa na hizi dhambi za watu wasiokuwa na hatia ndizo zitakazofanya hitimisho lao la kubaki madarakani
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  ipo siku tu, jmosi nitakuwa kitaa cha kirumba.
   
 9. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Wanasubiri kupewa bahasha ndo waandike habari
   
 10. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Chadema wamechukua hatua gani? Tungependa(wananchi) kuona hili linakomeshwa sasa hatuwezi kukomesha hili kama hatutachukua hatua.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Vibaka hao, waetaka kuiba wakala mkong'oto, hamsemi kweli tu!
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wewe matiko kwenye i weka a kwani mwizi adhabu yake ni kifo?
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana!
   
 14. d

  dagjrtz Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hii sasa mbaya hata kama ni kutafuta madaraka si hivi jamani. Hivi media na vyombo vya dola mpo wapi jamani onesheni haya mavitu watu waone uozo wa wanaowaongoza, they are no longer leaders but monsters ready to kill for power.
   
Loading...