Maalim Seif kufunga kampeni Vijibweni Jmosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif kufunga kampeni Vijibweni Jmosi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mkigoma, Mar 29, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni makamu wa kwanza wa Rais, wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar jumamosi atafunga kampeni kwa upande wa chama cha wanainchi CUF, na kusubiri maamuzi ya wanainchi siku ya jumapili, mwanzoni kata hiyo ilikuwa inashikiliwa na chama cha wanainchi CUF, ambapo diwani wake alifariki.
   
 2. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Jitahidin murudishe kata ni aibu kubwa ccm wakiichukua
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kwa hali ilivyo watapigwa chini.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hiki chama bado kipo?
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  maalim seif hamia ADC!
   
Loading...