Mwaka huu uwe mwaka wa mabadiliko ya kuona mambo ya maana kwa nchi yanafanyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka huu uwe mwaka wa mabadiliko ya kuona mambo ya maana kwa nchi yanafanyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by habi alex, Mar 29, 2012.

 1. habi alex

  habi alex Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Naomba kutoa hoja kwamba mwaka huu uwe wa mabadiliko yatakayotokana na sisi wanyonge na silaha yetu kubwa ni kuwaumbua viongozi waongo, wababaishaji, wabadhirifu na wabinafsi. Tukiwafahamu kazi yetu iwe moja tu ni zomeazomea kila wapitapo na kuwaonyeshea mabango ya matendo yao. Hali hiyo itawafanya wabadilike na wajirudi wawe zaidi kwa maslahi ya wananchi.

  Wewe, mimi, na wote tunaweza kuwa chachu na silaha muhimu ya mabadiliko ya tabia ya viongozi wetu wa umma.

  Na tuanze sasa.
   
Loading...