Mkutano wa ccm kitongoji cha kilinga wamvutia baba mzazi na mama mzazi wa mgomea wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa ccm kitongoji cha kilinga wamvutia baba mzazi na mama mzazi wa mgomea wa chadema

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by tokyo1sofala, Mar 29, 2012.

 1. tokyo1sofala

  tokyo1sofala Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  MZEE NASSARY (mwenye suti nyeusi) NA MAMA NASSARY (aliyefunga kilemba cheupe) WAKIWASILI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA CCM KATIKA KITONGOJI ALICHOZALIWA NASSARY KWA NIA YA KURUDI KUNDINI ....

  SDC10388.JPG SDC10389.JPG SDC10388.JPG
   
 2. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  pumbavu zako! Acha ku2mia makamasi kufikiri we mke wagamba, ka.... Mbele.
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wanarudi kundi lipi? Mbona wasionekane wanao mpokea? Au mkutano huo ni wa watu watatu tu? Kweli magamba imefilisika.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hiyo mibuni ndio ilikuwa inahutubia hapo shambani kwa mzee !
   
 5. tokyo1sofala

  tokyo1sofala Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Hahaaaaa.... nitumie lugha gani nyepesi kwako kuielewa ? WAKIWASILI.... waulize hao wazee 2 uanaowaona wakuambie walikokuwa, then nawe utumie MAKAMASI yako kufikiri...
   
 6. tokyo1sofala

  tokyo1sofala Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Mbona mbwa , hujamkumbuka ?
   
 7. tokyo1sofala

  tokyo1sofala Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Tanzania bila fujo,maandamano na kelele inawezekana pia.
   
Loading...