Mkapa aombwa,asita..

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Rais na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu,Benjamin William Mkapa almaarufu kama 'Mjuzi wa Ukoo' ameombwa kwenda kufunga alichokifungua Arumeru Mashariki.Hatahivyo,Mkapa ameonyesha dhahiri kusita kwenda huko kwa kujibu kwa mkato 'kwasasa nina mambo mengi ya kufanya zaidi ya hilo'. Hapo ni baada ya kufahamishwa na viongozi waandamizi wa CCM jana.Picha inaendelea...
 
Hawezi kitu huyo!, ameshasoma upepo kuwa mambo hayatakwenda sawa!...
Ana bahati sana angezomewa sana na kujuta!
 
Habari nilizonazo ya uhakika ni kwmb hili gamba litatua kesho 30/03/12 saa moja oo nusu hapo KIA na bila shaka atakuja kushudia aibu watakayopata hapa Meru!

Lakini nimezidi kuamini ya kwmb sisiem ni JANGA kubwa ndani ya Nchi yetu!
 
Kuna Thread inaelezea ujio wa Mkapa kesho Arumeru. Jk alishamwambia akikataa kwenda atafute biashara ya kufanya, akatafute na nchi ya kuishi.
Alivyomwoga na kwakujikomba atakwenda tu.
Majitu ya namna kama ya Mkapa hayajawahi kuwa majasiri!

Back
Top Bottom