Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ukweli usiopingika kuwa chadeam ni chama kikubwa kwasasa lakini hicho sio kigezo cha kukifanya kijione kiko sawa na ccm na kuweza kupambana na ccm ambacho kina mtaji wa mamilioni ya watanzania...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi Taifa wamesema kuwa wananchi wanaruhusiwa ‘kupiga kambi' katika kituo cha kuhesabia kura lakini wakiwa umbali wa mita 200. Tamko hilo limetolewa katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Magwanda bwana...sasa mtasubiri mpaka lini?time wil tel when?2moro or after 100yrs to come?mtakuwa mmekufa wote kwa..,
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jf wenzangu, kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda CCM kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza:Atakuwepo leo katika kitongoji cha Kabuhoro kumnadi mgombea udiwani kupitia CCM bwana JACKSON ROBERT aliyeelemewa vibaya na CHADEMA.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kesho siku ya jumamosi tarehe 31. 03. 2012 ndiyo siku ambayo vyama mbalimbali vilivyojitokeza kuwania ridhaa ya wana Arumeru kuongoza jimbo hilo vitahitimisha kampeni zao. Mpaka sasa ni jambo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo 30.03.2012 kuanzia saa kumi jioni huko uwanja wa michezo Patandi Arumeru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba kama vile Mkapa, Lowassa...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwa wale wanaonadhan cdm itashinda, kwa wale wanaodhan upinzani utashinda 2015, kwa wale wanaodhani udini na ukanda utaongoza tz, kwa wale wanaodhani watashinda na kuvunja muungano, kwa nyie...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ningependa kufanya tafakuri ya Mwelekeo wa Taifa letu na ni nini itakuwa hatma yetu kama tutaendelea na aina ya maisha na siasa tunazo ziendeleza kwa sasa ambazo naona zimeligawa Taifa letu na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
:scared:Wadau mnalionaje hili kwamba chama kipya cha siasa ADC huenda kina uhusiano na LOWASA kama maandalizi ya kugombea uraisi mwaka 2015 kama CCM itaamua kumtosa kwenye kinyang'anyiro...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Strategic Plan ya CCM ni ushindi wa kishindo, Main objective ushindi ni lazima, specific objective ushindi mkubwa sehemu za vijijini na nje ya miji. Target Population, Wakinamama na Wadada wote...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
CCM siku zote ni chama kinachoendeshwa kisomi zaidi, na mikakati yake siku zote huwapumbaza wapinzani kama Chadema na kuchangiza ushindi wa kishindo wa chama kubwa CCM. Strategic Plan ya CCM ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
CHADEMA imekuwa popular sana kwa maandamano sana hapa nchini hasa pale inapotokea kuna jambo limewaudhi! pamoja na kwamba chadema wana illusion eti watashinda jimbo la ARUMERU kwa kuangalia idadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki chama CCM ni chama cha kuogopwa kama ukoma.Hivi Lowasa na Mkapa wanataka kuwaambia nini wana Arumeru?Huyu Lowassa alikuwa na kashfa nzito alipokuwa waziri mkuu.Haoni aibu kusimama jukwaani na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf naombeni nielewesheni,kama uchaguzi wa Arumeru ni tar 1 ambayo ni jumapili,kawanini vyama vimefunga kampeni leo na kwanini isiwe kesho jumamos?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF, Nimefanikiwa kupata taarifa hii ambayo nimeiattavch hapa, nadhani wengi wetu tulipata taarifa mwaka jana juu ya uporwaji mkubwa wa ardhi uliofanyika na kampuni la Agrisol...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu nikiwa nafuatilia taarifa ya habari ITV, Nimemsikia Dr.W.Slaa akisema chuo cha Polisi moshi kinaandaa askari wale mafunzo wapatao 95 kwenda kusaidia Ccm pale Arumeru, Jamani sasa hi ni haki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nani makliiiiii huko IRInGa????????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa msafara mrefu wa Rais Kikwete na wapambe wa Lowassa na Lowassa wenyewe umesababisha wakazi wa Arusha kukosa usafiri baada ya barabara kufungwa ili kupisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati zikiwa zimesalia saa 48 ili Wananchi wa Arumeru Mashariki waeze kupiga kura, ili kumpata mwakilishi wao. vyama vya CDM na CCM vina upinzani mkali na lolote laweza kutokea kati ya kimoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…