CCM ni chama cha Mikakati ya ushindi, Mapene 4 usiku Sioi kutangazwa mshindiiiii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni chama cha Mikakati ya ushindi, Mapene 4 usiku Sioi kutangazwa mshindiiiii

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mr Emmy, Mar 30, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  CCM siku zote ni chama kinachoendeshwa kisomi zaidi, na mikakati yake siku zote huwapumbaza wapinzani kama Chadema na kuchangiza ushindi wa kishindo wa chama kubwa CCM.

  Strategic Plan ya CCM ni ushindi wa kishindo, Main objective ushindi ni lazima, specific objective ushindi mkubwa sehemu za vijijini na nje ya miji. Target Population, Wakinamama na Wadada wote, Watu wamakamo, Wazee, Vijana wote wenye shahada za kupigia kura.

  Methodologies za ushindi ni zaidi ya upeo wako wafikra.
  Mikutano yetu ya kufunga kampeni tunakwenda nje ya mji wa Arumeru kwa ajili tu ya kukamilisha mkakati wa ushindi wetu kwani huko ndo kunawapiga kura waukweli na ndio chanzo chetu kikuu cha ushindi.

  Tafadhalini nawaagizeni Chadema muwe watulivu tu na mkubaliane na matokeo ya ushindi ambayo 1/04/2012 saa nne usiku yatamtangaza sioi kuwa mbunge mpya wa Arumeru. Nawapongezeni Chadema kwakutupa changamoto mbili tatu katika kuwatumikia vyema wanannchi watanzania kwani ndio wajibu wetu kama CCM.

  Mwisho Chadema msikate tamaa endeleeni na harakati zetu za kukijenga chama chenu hadi kufikia 2030 tunaweza kuwafikiria katika kuwapa japo nafac za uwaziri katika serikali yetuya CCM; msikate tamaa wala msijetengana kama CUF,NCCR na TLP
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Upo sayari ipi mkuu? Nadhani unataka kuleta mbwembwe tu lakini ukweli bila kuegemea upande wowote CCM haina hali nzuri Arumeru.
   
Loading...