Lowasa na chama kipya cha siasa adc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa na chama kipya cha siasa adc

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkweli1961, Mar 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mkweli1961 Senior Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  :scared:Wadau mnalionaje hili kwamba chama kipya cha siasa ADC huenda kina uhusiano na LOWASA kama maandalizi ya kugombea uraisi mwaka 2015 kama CCM itaamua kumtosa kwenye kinyang'anyiro. Anafahamu kwamba CHADEMA ni tishio ndio maana hata bendera yao inafanana naya CHADEMA. Huenda LOWASA akagombea kwa ticket ya ADC huku bara na Rashidi ambaye amefukuzwa CUF kugombea kwa upande wa Zanzibar. Tusuburi tuone.:mullet:
   
 2. J

  Jwagu Senior Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 19, 2007
  Messages: 156
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  we ndio unataka iwe hivyo au?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu mkweli kuna vigezo vingine zaidi ya hviyo uliyoandika hapo?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Una undugu na sheikh y.......?
   
 5. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Edward Lowassa hata hajajiunga na ADC!!! Unawezaje kumtakia makubwa kama hayo.

  Kama amekudokezea uanze hii thread aone reaction ya WaTz. basi endeleeni. Nawatakieni kila la kheri.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... Zitto Kabwe, KAFU-ADC damu. Kijiwe ni CHADEMA lakini roho ni kwa ADC; tehe tehe tehe, na urais tunautaka pia.
   
 7. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani mie sijui naomba mniambie, ADC ni chama cha siasa Tanzania
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kina usajili wa muda
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  unataka tujadili mawazo/hisia zako tupe mashiko yanayojitoshereza katika thread yako
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  :iamwithstupid:
   
 11. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ADC chama mufilisi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...