Kikwete ampa escot Lowassa kwenye msafara wa Rais toka Arusha kwenda Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ampa escot Lowassa kwenye msafara wa Rais toka Arusha kwenda Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Crashwise, Mar 30, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa msafara mrefu wa Rais Kikwete na wapambe wa Lowassa na Lowassa wenyewe umesababisha wakazi wa Arusha kukosa usafiri baada ya barabara kufungwa ili kupisha msafara huo!

  Zaidi ya lisaa limoja sasa barabara imefungwa kuanzia eneo la Philips...wakisubiri msafara huo upite....

  Hayo ndio matumizi ya rasilimali za taifa..
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  JK ameshaondoka Arusha tangu saa 5.50, na kama kenda salama sasa hivi ndege yake inaita Dar Airport kwa Final Approach!
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe uko Arusha au unarusha mambo kwa mwendo wa kurusha??  Without fear or favor. Asante mkuu kwa kukanusha bila kuonekana kama unakanusha!!
   
 4. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hatutishiki jimbo tayari lilieeee chadema naomba jpili ifike hao boda boda wote chadema ...hata wangechukua magari yote ya arusha watu wanafata pesa tuuu hapo hivi wenyewe hawajioni kwamba hao jamaa wanachofata ni hela na hii ndo itakuwa somo kubwa kwaooo
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na hawa ndiyo wanaoishushia hadhi JF kwa mambo ya uongo.

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  40% ya wanafunzi wa sekondari urambo hawaendi shule!source tbc1 wewe unafurahia hili lichama bila aibu!una matatizo ya akili
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Sera za CCM banaa! Lol!
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unaumwa wewe!!
   
Loading...