Polisi kusadia Ccm Arumeru.

Aggrey86

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
853
155
Wakuu nikiwa nafuatilia taarifa ya habari ITV, Nimemsikia Dr.W.Slaa akisema chuo cha Polisi moshi kinaandaa askari wale mafunzo wapatao 95 kwenda kusaidia Ccm pale Arumeru, Jamani sasa hi ni haki kweli? Kwani Ccm wao hawajiamini hadi waanze kuongeza na Askari wawasaidie? Sasa nini kifanyike ndugu zangu kuokoa hii Arumeru tusaidiane hapa jamani wanaarumeru wote kuweni makini jamani lindeni kura zenu kwa hali na Mali inauma sana kiukweli.
 
Unless we take very important meansures OUTSIDE the voting box to eraticate CCM. Naamini, hakuna siku ambayo ccm itaondoka madarakani kwa sanduku la kura. tusipofika Tunisia, Misri, Libya na Yemeni, hatuwezi kuing'oa ccm madarakani. Mmarekani amewekeza sana katika nchi hii na anafahamu fika kuwa CCM ikiondoka marakani hatokuwa na lake tena. kwa hiyo CCM inalindwa from OUTSIDE tena na nchi yenye nguvu kuliko zote Duniani. Inatia hasira sana.
 
Hapa mie suala hili bado halijaniingia akilini;
1. Ni kwa namna gani Dr.Slaa anasema Police wanakuja Arumeru kuongeza nguvu wakati mafunzo ya Police hao yanaendeshwa na Ratiba yao maalum inayo waongoza kwa kipindi chote cha mafunzo?

2. Kwa habari nlizonazo ni kwamba vijana hao wa Police wana maliza kozi leo swali la kujiuliza je kulikua na haja ya kuahirisha ufungaji wa Kozi yao leo tu kwasababu Taifa lipo kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru na siku zipelekwe mbele hadi pale uchaguzi utakapomalizika?
 
Back
Top Bottom