Hivi ndivyo ardhi ilivyouzwa na inavyouzwa kwa wawekezaji huko Mpanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo ardhi ilivyouzwa na inavyouzwa kwa wawekezaji huko Mpanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by commited, Mar 29, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Heshima kwenu wana JF,

  Nimefanikiwa kupata taarifa hii ambayo nimeiattavch hapa, nadhani wengi wetu tulipata taarifa mwaka jana juu ya uporwaji mkubwa wa ardhi uliofanyika na kampuni la Agrisol Investors from USA huko wilaya ya Mpanda, Lengo la hao wawekezaji ni kufanya kilimo kinachotumia mimea iliyohandisiwa viini tete (DNA) Kwa kigupi huitwa GMO (Genetic Modified Organism) KWA WALE WANAOFAHAMU UTAALAMU WA HIZI BIDHAA ZA GMO WATAKUBARIANA NAMI KUWA NI BIDHAA HATARI SANA. Sasa kunatimu ya watu tofauti walilifatilia hilo swala wakiwemo waandishi wa habari, karibu upate picha ya kilichojiri, lakini cha kusikitisha ni uhalisia wa kodi inayolipwa kwa mwaka katika eka moja (tSH 500/=) na Kwa hecta mmoja (TSH 700/=). insikitisha karibu ujisomeee.

  Following land grabbing saga at Mpanda District (in refugee settlements of Mishamo and Katumba), Envirocare in partnership with Tanzania Land Alliance (TALA), under auspices of HAKIARDHI undertook a fact finding mission to Mpanda District from 17th to 24th July, 2011. About 7 villages were visited both in Katumba and Mishamo refugee settlements.


  A team of 10 people from Envirocare (represented by Samson Sitta), HAKIARDHI, LHRC, LEAT, JET, Mwananchi newspaper, The Guardian, ITV and Channel 10 participated in the mission.

  The rationale behind this mission is to investigate on land grabbing issue in Mpanda that involved AgriSol investors from USA and representatives AgriSol Energy Tanzania, Ltd.

  From the mission it was found out that, on 11th August, 2010 Mpanda District Council signed a Memorandum of Understanding with AfriSol Energy Tanzania Limited, for Conducting Feasibility Study at Katumba and Mishamo area. This is a way forward to investment of this area for GMO crops and animals. It is alleged that this investment deal is conducted in high secrecy.

  Mpanda community members are not aware of anything that is happening, while Agrisol investors have already taken soil samples in the area. A lot of things are being reported, including involvement of high ranking government officials.


  - There is a lot of secrecy in all dealings of the Agrisol issue, which brings suspicion among the people.
  - In accordance with clause 4.6 of the MOU, Agrisol shall as condition on Right of Occupancy: pay Tshs 200/= per acre as payment of land rent per year and 500/= per hectare per year for land under cultivation to the Council as fee. These are so ridiculous, how can you lease land that would have been used by Tanzanians for agriculture or livestock keeping for 700/= per acre, while there are lots of land conflicts throughout the country?


  Document yote hii hapa chini kama attachment

   

  Attached Files:

 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza ni mradi wa Vigogo wa Thithiem kupata pesa (10%) na kujiwekea akiba benki za nje

  Kilimo kwanza ni mchezo wa kisiasa ili magamba waonekana wanafanya kazi

  Kilimo kwanza kuwanufaisha vigogo na hivyo wanahisa kwa wawekezaji

  Kilimo kwanza ni Ukoloni mamboleo kwa maana ardhi nzuri watapewa wawekezaji na vigogo magamba.

  Mtanzania wa kawaida akiomba hata heka 5 hawezi pata. jamani Hata kama kulipia ni elfu hamsini, kuna mtanzania atashindwa???

  Hawa wawekezaji wataajiri watanzania kwa ujira wa shs 40,000 hadi 80,000 kwa mwezi. Hii hela inatosha kula, kupanga chumba? Kusomesha?

  Mfano ni Mbalizi Mbeya, Morogoro na Arumeru

  Hapa watanzania tumeuzwa mchana kweupe.... Watanzania tumekuwa watumwa tena jamani

  Hii serikali ya CCM maajabu kabisa.


  Mfano wananchi wa wilaya ya Rombo mipakani wanakodi ardhi Kenya hekari kwa shs laki moja na zaidi kwa mwaka.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tsh 200 kwa heka na 500 kwa hecta!

  Hivi wanaosign hii mikataba wazima kweli? Kabisa ndo wanachosign hiki?

  Anyway wapeni wapeni wapeni tu ardhi
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  " In accordance with clause 4.6 of the MOU, Agrisol shall as condition on Right of Occupancy: pay
  Tshs 200/= per acre as payment of land rent per year and 500/= per hectare per year for land under
  cultivation to the Council as fee. These are so ridiculous, how can you lease land that would have
  been used by Tanzanians for agriculture or livestock keeping for 700/= per acre, while there are lots
  of land conflicts throughout the country? "

  Duh hii kali sana, hii ya nchi gani au wana maana paund.
   
 5. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ninavyoona kuna siku siasa itasimama na badala yake mapigano ya syria yataanza hapa hapa tanzania...ardhi ni issue sensitive sana sana..
   
 6. Fund

  Fund Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu inauma sana,maombi kwa Mungu taifa letu likombolewe
   
 7. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Jeez! hii nchi tumeliwa!!:A S 13:
   
 8. c

  collezione JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  CHADEMA waanzishe TV vitu kama hivi viwekwe hadharani watu wote wajue.

  Humu Jamii forum wachache sana tunaingia.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Acha mikataba hio,kuna mikataba mingine akipewa hata chizi hawezi sign,anyway Tanzania shamba la bibi we jichumie tu bibi ana noma na wajukuu zake!
   
 10. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Hii habari inasikitisha sana. Hivi hii nchi tumeshaiona ni kubwa sana hadi ekari ya ardhi auziwe mzungu kwa 500/=. Hivi unaweza kufikiria baada ya uhuru tulikuwa watu milioni 9 na sasa tupo zaidi ya milioni 40. Hao wazungu mnaowaita wawekezaji mnapowapa ardhi kubwa kiasi hicho kwa miaka 99 hivi mlishajiuliza baada ya miaka 99 idadi yetu itakuwa imefika watu wangapi. Na mnapowaruhusu hao wazungu kuingiza GMOs, hivi mnajua hatari itakayotokea iwapo mbegu zetu za asili zitatoweka. Au ndo mnaruhusu tuwategemee kwa kila kitu, hadi mbegu za kupanda. Kwa kweli nina wasiwasi ni hii nchi kitakachotutokea huko mbeleni. Sijui!!!
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hii ndiyo serikali ya Kikwete ambayo umekuwa unaitetea kila mara.
   
 12. commited

  commited JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwa kweli ndugu zangu, sina hata cha kujivunia katika nchi hii.. kwa sababu ardhi ni kila kitu lakini kwa uroho wa watu wachache wasiojali kesho... ndio hao wanao tuuzia nchi yetu bila huruma. SIjui haya mambo yanatokea hapa tu kwetu au hata nchi nyingine yapo? Hao uslama wa taifa,polisi sijui mkuu wa wilaya, mkurugenzi, waziri wa wilaya husika wanafanya nini, mpaka watu watoke huko USA waende mpaka mpanda.. tena vijijini huko...haiwezekani hapa kuna mkono mkubwa sana wa vigogo... kama kawaida hawana huruma wao ni mwendo wa kupiga dili tu kama kawaida. Sijui siku mambo yakichacha watakimbila wapi?
   
 13. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mizengo Pinda anahusika sana hapo. Ameapa ikiwezekana amwage uwaziri mkuu ila ardhi lazima wapewe AgriSol. Kesha kula chake hapo mtoto wa mkulima
   
 14. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  J.M kwa mara ya kwanza leo nakugongea like,kumbe uwa mnayajua madudu yanayofanyika ila mnawatetea hao wanayoyafanya hayo madudu!this is un acceptable kabisa,kwa nini hawa watawala wanatufanya watanzania mazezeta sana?
   
 15. N

  Noboka JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kikao kilichopita, Halima Mdee aliuliza swali kuhusiana na hii habari ya Agrisol, Mh. Pinda kasema "Msituonee wivu na hii ni zamu yetu watu wa Mpanda kupata uwekezaji ili tupate maendeleo" ki ukweli moyo wangu niliuapiza kuwa Pinda ni mnafiki na ni hatari sana.

  Lakini ukweli unabaki kuwa ndani ya miaka 10 ijayo tutakuwa na vita ya kudai uhuru wa kweli hususan kuhusu ardhi.
   
 16. N

  Noboka JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Msisahau kuwa tayari kuna AgriSol Tanzania ambaye mwenyikiti wake ni Mzee Idd Simba!
   
 17. D

  Drake Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Du!, kwa Mwendo huu bora ni chukue changu mapema! Hatatukija gombana tayari ninacho.Na washauri na nyinyi mfanye hivyo. Wa Tz tuko approximately 40M na ardi tuliyonayo kila mtu anaweza pata kidogo.ila wanaofanya haya tayari wanayo yakutosha.
  Tafakari hili:
  Kila kijiji kigawe ardi yake kwa kuhakikisha kila familia ina walau ekari 5, zinazobaki ni Mali ya kijiji, manasemaje?
   
 18. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Mpanda Mjini Mhe. Alfi (CHADEMA) alikwisha wasilisha hoja binafsi bungeni ili swala hili lijadiliwe tangu kikao kilichopita lakini Mama Spika amekalia hoja hii kutokana na shinikizo kutoka kwa Mtoto wa Mkulima.

  Kiukweli kama harahati za kuiondoa serikali hii madarakani hazitaimarishwa, nchi yote itakuwa chini ya wawekezaji wezi!
   
 19. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Hii ni mbaya sana, Inabidi wanaharakati wa Tanzania kama LEAT, LHRC, Chama cha wakulima na wengine kushirikiana na wanaharakati wa kimataifa kama GREEN PEACE. Ili kuanzisha move ya kupinga yafuatayo.

  -ukoloni mamboleo (Ardhi kuuzwa kiholela kwa wageni na watanzania kunyimwa fursa)
  -kupinga GMO foods

  Vijana wa tanzania waelimishwe na wawezeshwe ili kuondokana na tatizo la ajira kwa vijana.

  Kuna watanzania wanaotaka kufanya kilimo cha kisasa ila tatizo ni kupata ardhi. Hakuna mtanzania atakayeshindwa kulipia ada ya 5000 kwa ekari/hekari kwa mwaka. Hawa viongozi wetu ni wahaini, aibu yao- shame on them.


  Naomba tuanzishe movement katika Facebook ili watanzania wengi wajue na pia ili kupinga hili jambo kwa nguvu

  Pia tuwasiliane na Taasisi za kimazingira za kimataifa kama GREEN PEACE
   
 20. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yasiyo wezekana kokote duniani, Tanzania chini ya uongozi wa Jakaya Kikwete yanawezekana.
   
Loading...