on behalf of fools

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,060
Kwa wale wanaonadhan cdm itashinda, kwa wale wanaodhan upinzani utashinda 2015, kwa wale wanaodhani udini na ukanda utaongoza tz, kwa wale wanaodhani watashinda na kuvunja muungano, kwa nyie woooooote mnaodhan ni sifa kututajia tajia majina mdee, mnyimka, ziiiiiito, etc, NASEMA MMESHINDWA
 
On behalf 0f fools, hapa unamaanisha kwa niaba ya wajinga.......huwezi kuwawakilisha wajinga kama wewe sio mjinga namba moja.
 
Kwa wale wanaonadhan cdm itashinda, kwa wale wanaodhan upinzani utashinda 2015, kwa wale wanaodhani udini na ukanda utaongoza tz, kwa wale wanaodhani watashinda na kuvunja muungano, kwa nyie woooooote mnaodhan ni sifa kututajia tajia majina mdee, mnyimka, ziiiiiito, etc, NASEMA MMESHINDWA

huo ni mtazamo wako wewe mjinga unayewawakilisha wajinga wenzio,haimaanishi kwamba ni lazima iwe hivyo
 
Kwa wale wanaonadhan cdm itashinda, kwa wale wanaodhan upinzani utashinda 2015, kwa wale wanaodhani udini na ukanda utaongoza tz, kwa wale wanaodhani watashinda na kuvunja muungano, kwa nyie woooooote mnaodhan ni sifa kututajia tajia majina mdee, mnyimka, ziiiiiito, etc, NASEMA MMESHINDWA

A foo* says what he thinketh in his heart. You are among them.
 
Kwa wale wanaonadhan cdm itashinda, kwa wale wanaodhan upinzani utashinda 2015, kwa wale wanaodhani udini na ukanda utaongoza tz, kwa wale wanaodhani watashinda na kuvunja muungano, kwa nyie woooooote mnaodhan ni sifa kututajia tajia majina mdee, mnyimka, ziiiiiito, etc,
NASEMA MMESHINDWA

Stop being stupid n come out of ur fools closet! Change/reforms does not mean any change/reforms, it means meaningful change! So take ur stupid simplistic idiocity to your village! Why dont u concentrate on what ur brain is capable of comprehending, instead of thinking beyond ur station!
 
Huwezi kuwakilisha kundi fulani ikiwa wewe si mwenzao..kwa hiyo wewe ndio kiongozi wao ambaye umesema kwa niaba ya..
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom