Saa 48 kabla ya uchaguzi arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa 48 kabla ya uchaguzi arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kikulacho, Mar 30, 2012.

 1. K

  Kikulacho Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakati zikiwa zimesalia saa 48 ili Wananchi wa Arumeru Mashariki waeze kupiga kura, ili kumpata mwakilishi wao. vyama vya CDM na CCM vina upinzani mkali na lolote laweza kutokea kati ya kimoja wapo kuibuka na ushindi je wewe unahisi ni nani ataibuka kidedea, kati ya SIOI SUMARI, ambaye anabebwa na ukogwe wa chama pamoja na Baba Mkwe wake Lowassa pamoja na Joshua Nassari, ambaye naye pamoja na kujenga hoja za ushawishi lakini na udhaifu hasa kwa kujawa na jazba na hasira pindi anapohisi anaonewa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwanini TUPIGE RAMLI wakati umesema yamebaki masaa 48 tu?
   
 3. by default

  by default JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  we ni m pu mb av u
  acha kulamba wakubwa miguu nini kimekunyima kuweka captal letter kwa JOSHUA NASARI acha kuendkeza upimbi wewe
   
 4. P

  Praff Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kada huyo. Imekula kwake.
   
 5. m

  maramojatu Senior Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Uchaguzi wa arumeru east hauna ushindani ambao magamba mnausema. CDM wameshashinda. Magamba mnaandaa mazingira ya kuiba kura shame on you. Hatutawakubalia
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hapo unataka tujadili nini?
  Una bahati sana nimekutukana kimoyo moyo
   
Loading...