Inasikitisha kama kweli kuna wanaoipenda CCM toka moyoni....!

Oti Kate

Member
Dec 20, 2011
58
59
Wana jf wenzangu,

kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda CCM kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu, mambo hayaendi, viongozi wakiwemo wabunge wao wanatukana wapiga kura wao................sijui nisemaje mnielewe, lakini hapana CCM tuiweke pembeni.

Kama Zambia waliweza..................Senegal waliweza, kwa nn sisi Watanzania Tushindwe?

Lets decide guys!
 
Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Kiukweli CCM imebaki kutegemea nguvu ya jeshi la polisi tu. Lakini naamini Arumeru uroho wao wa madaraka utawaponza.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Nimesikia kada wa ccm kwa masikio yangu anasema hatujaja kumwombea sioi kura tumekuja kumsindiza bungeni. Nimeshindwa kuelewa ana maana gani. Yaan ccm ni janga kubwa tz.
 
wana jf wenzangu,

kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda ccm kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu, mambo hayaendi, viongozi wakiwemo wabunge wao wanatukana wapiga kura wao................sijui nisemaje mnielewe, lakini hapana ccm tuiweke pembeni.

Kama zambia waliweza..................senegal waliweza, kwa nn sisi watanzania tushindwe?

Lets decide guys!

still ccm better kuliko kumpa dj mbowe na slaa
 
wana jf wenzangu,

kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda ccm kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu, mambo hayaendi, viongozi wakiwemo wabunge wao wanatukana wapiga kura wao................sijui nisemaje mnielewe, lakini hapana ccm tuiweke pembeni.

Kama zambia waliweza..................senegal waliweza, kwa nn sisi watanzania tushindwe?

Lets decide guys!

kwa uchaguzi wa meru mashariki cdm inapigwa kwa mbali sana ni suala la utafiti tu unashabikiwa na vijana waliojiandikisha arusha majini na mererani ambapo huko kwao ni waohuni jamaa sioi anashinda kwa asilimia kuanzia sabini na kuendelea
 
eti nao wana jiita makamanda! Kha mtu kama Lowassa na Wassira wanaweza kuwa makamanda kweli?
 
Kwa kweli toka niangalie mambo ya lusinde sitamani kuwa na hata undugu na m2 aliye ccm maana ni zaidi ya wajinga,na lusinde sio tu ameiabisha ccm bali watanzania kwamba watanzania ni wajinga wapumbavu,wasiofikiri na kila ki2 walahi ningekuwa karibu na ule mkutano ningeenda jela,how the **** can someone cheer that dumb man,watanzania mpaka tusokomezwe vijiti,eti uzalendo?eti na kuna m2 wa jimbo lake anajisifia ana mwakilishi si heri wasiwe nae,he is disgusting,
 
Ukiona kuna mtu ana mapenzi na ccm basi either anataka uongozi ili apate ulaji au ccm inamlipa kwa kumtumia kama kandambili, mfano mzuri ni nape.
 
Wana jf wenzangu,

kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anaipenda CCM kwa moyo wake wote..........! Hivi mtu kama huyu tumfanyeje jamani, unajua anatia hasira sana.............maisha magumu, mambo hayaendi, viongozi wakiwemo wabunge wao wanatukana wapiga kura wao................sijui nisemaje mnielewe, lakini hapana CCM tuiweke pembeni.

Kama Zambia waliweza..................Senegal waliweza, kwa nn sisi Watanzania Tushindwe?

Lets decide guys!

Huwezi kulinganisha zambia na senegal na sisi ktk demokrasia
! sisi tupo nyuma saana saanah ktk kila nyanja!na hata ikitokea matokeo ya kura kuibiwa hata tukiandamana utaona ulaya magharibi na USA watakaa pembeni , hawatafanya usuluhuhishi kama ilivyo kwa Ivory Cost na Kenya.

wewe ulitegemea umasikini walionao watu wa Igunga CCM ingeshinda? Au unemployment rate kubwa mikoa ya kusini 99% ya wakazi wa huko hawana kazi na muda wao wa kushi ni miaka 45 lakini CCM ina nguvu huko kuliko mahala popote Tanzania. wao watu wa kusini au watanznaia hatukichambui chama kiuchumi na madhala ya chama kutojua kujenga uchumi bali masikini wengi mikoa ya kusini na Igunga tabora Rukwa na singida hushabikia bendera ya chama tuu bila .

Tabora ina watu milion moja na laki tano na ina 99% unemployment rate ingawa wana zalisha asari nyingi na ni wakulima sana , lakini hakuna hata kiwanda cha kuwatafutia watu kazi. hata kiwanda cha soda hakipo! Cha bia hakipo! Ila mkoa huo una nguvu za CCM kupita kiasa, kwa sababu watu hawakiangalii chama kimafanikio ya kiuchumi ila wao . kwa mtaji huo CCM itatawala milele mshikaji!nembo ya jembe na Nyundo tuu!
 
Back
Top Bottom