chadema kuandamana baada ya kushindwa ARUMERU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema kuandamana baada ya kushindwa ARUMERU?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mujumba, Mar 30, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA imekuwa popular sana kwa maandamano sana hapa nchini hasa pale inapotokea kuna jambo limewaudhi! pamoja na kwamba chadema wana illusion eti watashinda jimbo la ARUMERU kwa kuangalia idadi ya watu wanaokuja kwenye mikutano yao! hii ni sawasawa na kuhesabu vifaranga kabla mayai hayajatotolewa! swali la msingi wakishindwa wataandamana kama ilivyo ada yao? ngoja tusubiri tuone maana ushindi wa ccm uko dhahiri
   
Loading...