Waziri William Ngereja ajitosa kuinusuru CCM Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri William Ngereja ajitosa kuinusuru CCM Mwanza

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Idimulwa, Mar 30, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza:Atakuwepo leo katika kitongoji cha Kabuhoro kumnadi mgombea udiwani kupitia CCM bwana JACKSON ROBERT aliyeelemewa vibaya na CHADEMA.
   
 2. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  akija aulizwe umeme vipi madini yetu vipi
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  kama vipi nendeni wengi mkamzomee hadi ashuke jukwaani kwa aibu.
   
 4. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akipanda jukwaani zima generator.
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kijana wa mirahaba ya madini ya 3% na mgao wa umeme
   
 6. m

  maramojatu Senior Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  cccm wameshakubali kushindwa.
   
 7. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ngeleja atokomee Kilungule kama ameshindwa hata kuleta umeme kwa watu wake wa Mwanza anakuja kutafuta nini wakati Mwanza kila siku umeme ni taabu
   
Loading...