Msafara wa Mkapa, Lowassa, Nape, Mukama wazomewa baada ya mkutano wa kampeni huko Patandi - Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Mkapa, Lowassa, Nape, Mukama wazomewa baada ya mkutano wa kampeni huko Patandi - Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MCHUMA MBOGA, Mar 30, 2012.

 1. M

  MCHUMA MBOGA Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo 30.03.2012 kuanzia saa kumi jioni huko uwanja wa michezo Patandi Arumeru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba kama vile Mkapa, Lowassa, Wasira, Nnape, Sophia Simba, Katibu Mkuu wa magamba Mukama wabunge mbalimbali bila kumsahau mgombea wao Siyoi Sumari na kumalizika saa kumi na moja kamili jioni.

  Watu waliojitokeza ni wakina mama wachache na watoto kadhaa na vijana wa green guards ambao idadi yao karibu ililingana na idadi ya watu kutoka vyombo vya ulinzi na usalama ambao leo walikuwa wengi sana kuliko kawaida.

  Baada ya kumaliza mkutano wao magamba wakitumia magari MENGI ya kifahari ya TOYOTA LAND CRUISER GX V8 waliondoka na kutimua vumbi wakielekea Usa River na walipofika kwenye makutano ya barabara ya kwenda Moshi - Arusha ndipo balaa lilipowakuta kwani walikutana na kundi kubwa la watu ambao idadi yao ni karibu mara tatu ya wale waliokuwa kwenye mkutano wa kampeni hapo Patandi na kuanza kuwazomea kwa kuwaita mafisadi na kuwaonyesha alama ya "V".

  Walipoona hivyo msafara wa mgamba ukaongeza spidi na kutokomea kuelekea Usa River.

  Source: Nilikuwepo pale in person.
   
 2. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaaaaaaaaaaaa
   
 3. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,547
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Thanks, kwa taarifa mkuu. 01.04. 2012.isiwe siku ya wajinga, bali cku ya kuwafanya magamba ndo wajinga! Wana meru msituangushe!
   
 4. m

  matawi JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Magambbaa maggambaa magambbbbaaaaaaaaaaaaa your days are numbered anzeni kusali kupunguza adhabu zenu
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Wazee waliomba CCM iwafukuze kazi walimu eti kisa wanawafundisha wanafunzi kuwazomea magamba na kuwaonesha alam ya V,mara hii magamba yatawanyofoka kama koboko
   
 6. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bado zomea zomea inaendelea hapa kwenye kituo cha magari tengeru na watu ni wengi sana.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks kwa update
   
 8. kijenge

  kijenge Senior Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Kumbe ndio maana wakamtumia maji marefu kuchukua roho za ndugu zetu wasio na hatia hapo kilala kwa kugonganisha haice na scania.mungu awalaani
   
 9. k

  kimeta cha ufisadi JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni muongo kama sugu mr ii, lowasa kafunika kule. na Lowassa ni Rais 2015 wa wasomi.kutawaliwa na chadema ni zaidi ya vita.unafikiri wana arumeru wajinga? hawaoni upuuzi unaoenendelea Arusha mjini? SIOI JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mngewarushia kinyesi kabisa zomea haitoshi
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na wewe ulikuwepo?
   
 12. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe unasema kule mimi nasema hapa tengeru muulize Nape zomea x2 aliyokumbana nayo.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,069
  Trophy Points: 280
  ..Mkapa.

  ..Lowassa.

  ..Nape.

  ..Wassira.

  ..Lusinde.

  ..Prof.Maji Marefu.

  ..aliyesema CCM ni sawa na KOKORO hakukosea.
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tupe picha wewe gamba usilete longolongo
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Watu wamekosa namna ya kufikisha ujumbe kwa watawala kuwa wamechoka na ghiliba sasa wameona njia sahihi ni kuzomea.Safi sana.Walisha shangiliwa vya kutosha wakajisahau.
   
 16. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  acha uongo we jamaa, huo unaosema msafara ulikuwa bado hujaondoka na wala hawakupita njia hiyo unayosema, ni uzushi mtupu! LETA PICHA AU UTHIBITISHO WOWOTE KUPROVE MADAI YAKO OTHERWISE UTAKUWA UNAPOTOSHA JAMII YOTE
   
 17. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  acha uongo we jamaa, huo mda unaosema msafara ulikuwa bado hujaondoka na wala hawakupita njia hiyo unayosema, ni uzushi mtupu! LETA PICHA AU UTHIBITISHO WOWOTE KUPROVE MADAI YAKO OTHERWISE UTAKUWA UNAPOTOSHA JAMII YOTE
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mbona uanaweweseka sana bwana mdogo? kama unakiamini chama chako cha Magamba bado kinapendwa ni kwa nini unaweweseka hivi!!??
   
 20. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mikusanyiko ya wanaCDM imeanzia sanawari lowassa alipo pita kazomewa mbaya yaan barabara ya Arusha-moshi imechafuka watu wamejipanga ni mwendo wa "V"yaan kila gamba likipita ni buuuuuuuuuuuu!umepita msafara wa Nassari watu wamelipuka kwa yowe na vifijo.
   
Loading...