Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa jinsi karata zinavyochangwa na timu za kampeni kwa pande zote mbili, ni dhahiri kuwa Sioi wa CCM ataibuka mshindi kwa tofauti ndogo sana ya kura. Laiti kama CHADEMA wangekuwa makini zaidi, na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mheshimiwa Edward Lowasa akimnadi mgombea wa ccm,kijana mtanashati na mjenga hoja za nguvu mheshimiwa Sioi Sumari alisema"Nawaahidi, kuwa sasa matatizo yenu yamekwisha, nimekuja kufunga mjadala...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ikiwa yamebakia masaa 21 ambayo yanaendelea kupungua ili kufanyika kwa zoezi la uchaguzi wa mwakilishi wa wananchi katika jimbo la arumeru mashariki yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa:- wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..lengo ili aaibike maana CCM wamepiga kampeni za kudanganya watu! Huu uongo hauvumiliki. Kwa nini wasingeanza kueleza yaliyofanywa na baba yake then yeye aanzie hapo wao wanapiga moja kwa moja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hapa jamvini salaam Mkutano wa kampeni wa mwisho kwa siku ya leo umefanyika Kata ya Kikatiti, Kijiji cha Kikatiti, ukihutubiwa na Katibu Mkuu, Dkt. Willibrod Slaa, Vincent Nyerere...
4 Reactions
110 Replies
11K Views
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na watu unaonyesha wazi kabisa katika chaguzi ambazo zinategemewa kufanyika kesho kutwa kuanzia ubunge hadi udiwani CDM ina asilimia kubwa ya kuibuka kidedea endapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vijana hawa wako chini ya ulinzi wakituhumiwa kuingia kwenye mkutano wa kampeni wa CCM huko arumeru na kuleta vurugu. Picha: Bashir Nkoromo.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndg wananchi ingependeza kama vyombo vya habari hapa nnchini vingeandaa mdahalo wa moja kwa moja kati ya sio na nasary , hi ingesaidia wananchi kupima uwezo wao . MNAONAJE HILI WAZO WAKUU ?
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Hivi katika nchi yetu ambapo ufisadi na ufujaji wa mali na rasilimali za nchi kila taasisi za serikali na umma tunaweza kusema "TUNA TAASISI YA UKAGUZI WA MAHESABU?" Hayo madudu ya ubadhirifu na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Fri, Mar 30th, 2012 Tanzania | Wed, March 30th 2012 CHADEMA's campaign coordinator, Mr Vincent Nyerere A Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) campaign agent has gone missing in...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kupitia Television nimeona,:cool2: 1. Kazi nzuri ya walioandaa Majaji, Mc's makini, ukumbi uliopambwa vyema na zawadi zinazofaa. 2. Kwa ujumla, hotuba nzuri ya Mgeni rasmi, Mh. J...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa...
1 Reactions
124 Replies
14K Views
Katika gazeti la jana la Tanzania Daima kulikuwa na makala hii ya Nkwazi Mhango iliyonisisimua na kunivutia sana. Mimi niko mbali na Dsm na husoma makala kwa njia ya mtandao. Kwa faida ya wengi...
20 Reactions
49 Replies
6K Views
Ninaunga mkono moja kwa moja maneno ya wazee wa CCM akina mzee Kitime,Kaduma na Butiku kuhusu mustakabali wa chama hiki tawala. Ni ukweli usiopingika chama hiki kinaenda kinyume na itikadi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kukwama marekani kwa muda mrefu kutokana na serikali kushindwa kulipia matengenezo sasa ndege hiyo inasemekana itarejea wakati wowote kwa ajili ya kumhudumia rais. Source: Tanzania Daima
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kenya wana jirani watatu wanaohitaji bandari ya Mombasa Tanzania ina jirani sita wanaohitaji bandari zetu (Mtwara - Dar - Tanga) Soma hii na utafakari............ Only a world-class port will...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Wana Arumeru, tarehe moja mnajukumu kubwa sana. Ili watu wa maeneo ambayo yana washabiki wengi wa chama tishio kwake wachanganyikiwe na kushindwa kupiga kura, ujumbe wa kuvuruga watu unaweza...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
nani makliiiiii huko IGUNGA????????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani ccm arumeru inashinda kwa kishindo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…