Nimechagua wimbo huu kama salam kwa waliotupigia kura Arumeru mashariki naamini walikuwa wakiimba wimbo either huu au unaofanana na huu.
Sikiliza mwenyewe.
Tukiondoa itikadi zetu za kivyama, hili la huyu jamaa bado sijapata jibu.
Ameibaka sifa yetu ya wa Tanzania wapenda amani wenye maadili ya rika. Najaribu kuingia vichwani mwa
viongozi wa M.agamba...
Ndugu wa Jf napenda kuweka thread hii kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Tunajua kwamba macho ya kila mtu yalielekeza huko Arumeru na kusahau kuwa kuna chaguzi za udiwani zinafanyika mahali...
Kwa kweli kama kuna tahariri za uhuru ambazo ziliwahi kunishangaza ni ya toleo la leo jumanne
Mhariri ametoa tahariri ndefu na kuhitimisha kwa madai kuwa mgombea wa CCM hakuwa chaguo la CHAMA na...
Wadau aliyesoma gazeti la jambo leo toka Juzi anambie walau kwa ufupi vichwa vya habari vimeandikwaje tafadhari.
Au kama lina matenity leave tuhabarishane
Mheshimiwa Kikwete ametuma salamu za pongezi raisi mteule (toka upinzani) wa Senegal ndugu, MECKY SALL. nanukuu " NIMEPOKEA KWA FURAHA KUBWA HABARI ZA USHINDI WAKO NA KUAPISHWA KUWA RAISI MPYA WA...
Mpendwa Mwenyekiti wa Chama,
Ninayo heshima kubwa kukufahamisha kuwa ndani ya chama chako hakuna kundi hata moja lenye nguvu zaidi yako.Mtazame Lowassa.Pamoja na kuwa Laigwan na mkwe wa...
Tunataka kutetea demokrasia na utawala wa demokrasia, hivyo hatuwezi kuwa wa kwanza kupendekeza njia zisizo za kidemokrasia kushughulikia matatizo ya kidemokrasia. Tupo ambao tumechukizwa, kukerwa...
Huyu ni Trasias kagenzi,Alisimamia uchaguzi mdogo tarime mwaka 2008 ivyo kuonyesha kuwa ana uzoefu usiotiliwa shaka.CCM mkimkataa huyu basi mnakimbia kivuli chenu.
Kuondokana na maneno yanayoweza kutuvunjia amani katika taifa kama "tangazeni kisha wao wataenda mahakamani" tuliyoyasoma humu jamvini napendekeza kwenye chaguzi zote nchini matokeo ya uchaguzi...
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin...
Hongera CHADEMA kwa ushindi mnono wa Arumeru, Mwanza,Mbeya na sehemu zingine.
Sasa ni kipindi muhimu kwa CDM kufanya utafiti ili kujua mbinu zilizotumikazimefanikiwaje na wapi pa kuleta mabadiriko...
Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa mwanafunzi mmoja wa udom ni kwamba kunawanafunzi wameandikiwa barua za kusimamishwa chuo kutokana na kukutwa wamevaa gwanda za ukombozi(CDM) wakati wakielekea...
Kwanza napenda kutoa pole kwa wana CCM wenzangu kwa kupoteza jimbo letu la Arumeru Mashariki na pia Nakipongeza Chadema kwa ushindi mwembamba walioupata katika jimbo la Arumeru na pia na mpongeza...
Hakika wanavuta shuka asubuhi, kuna mambo mengi sana kiasi kwamba kurudisha imani kwa CCM si rahisi kwa muda huu,kung'ang'ana na bodi ya mikopo ivunjwe eti kwa fikra zao ndio inakimbiza vijana...
Tue, Apr 3rd, 2012
Tanzania | April 3rd Tue 2012
Fred Mpendazoe
A Defence witness on Monday implicated a CCM agent before the High Court of stealing a vote during the 2010 parliamentary...
Kwa wanaofahamu Arusha hata kijuujuu pale Sanawari mataa kona ya kushuka AICC, kupanda sanawari ya juu ni vumbi kwanzia mataa kupanda huko mpaka mwisho wa Barabara. Huyu jamaa haogopi hata...
Mh Lema ni mwanamapinduzi kweli,...ninafurahishwa sana na maneno ya matumaini anayowapa vijana na wapambanajikwa ujumla.
Hiii ni nukuu kutoka katika gazeti la Nipashe:
"Nassari alisema mwaka...