Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

Kauli za mama Ane Kilango akiwa Kiwira zina maanisha nini anaposema watu wametoka mbali kuja kufanya fujo. Hivi hao waliotoka tukuyu na Mbeya na viunga vingine vya wilaya ya Rungwe wametoka mbali kiasi gani kuzidi yeye aliyetoka same mashariki? Hii ni aibu ya ccm
 
Kilango ni mfyatukaji yule, hana sifa za kuwa kiongozi. asamehewe, jitihada zake zimegonga mwamba. Zito ndio amefanikiwa kuliko yeye japo aliondoka mapema.
 
hawawezi kufurahia coz wamechagua upande mbaya wa historia.
Marine hassan marine wa TBC kaitangaza habari hii kwa unyonge huku machozi yakimlengalenga.
Tulianza na Mungu, tunamaliza na Mungu.
People's ..........:high5: Power
!!

hapo kwenye mstari mkuu.....nashangaa sana nnapoona vijana wanachagua CCM badili ya upinzani...bse kwangu CCM maana yake ni status quo(wizi, ufisadi, majungu, fitna nk) wakati upinzani ni change.

shame on clouds, shame on TBC inayopumua kwa kodi zetu.
 
Paul James Swea amesema kuwa eti leo ni vyema,kwenye dondoo za magazeti,kwa leo kuweka siasa pembeni.Clouds ni CCM damu na ni wanafiki.Na bado!
 
Kauli za mama Ane Kilango akiwa Kiwira zina maanisha nini anaposema watu wametoka mbali kuja kufanya fujo. Hivi hao waliotoka tukuyu na Mbeya na viunga vingine vya wilaya ya Rungwe wametoka mbali kiasi gani kuzidi yeye aliyetoka same mashariki? Hii ni aibu ya ccm

Wengine walisema juu ya majukwaa "Msiamuliwe mambo na watu kutoka Musoma". Huku wao wakitoka Simanjiro, Bunda, Lusinde nk. Unaweza ukajiuliza kama wanajitambua wakiwa majukwaani au la. Nimeona ile habari ya "Ni mbwamwitu katika ngozi ya kondoo" ikijidhihirisha!!!
 
Yani ccm safari hii mpaka wavue jez katikati ya mechi,,,,huyo AKM hana jipya ni mikwara ya mende kutaka kumeza kabati ili hali yuko ndan ya kabati....chadema hoyeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom