Kura za maoni CCM EAC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni CCM EAC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOOKY, Apr 3, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kura ya maoni CCM kuchagua majina ya uwakilishi Bunge la Afrika Mashariki imeanza. Ni upande wa Zanzibar sasa. Lakini uchaguzi umeanza vizuri bila kashfa yoyote, habari kamili baadaye. Nawasilisha
   
 2. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,076
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Enderea hivyo hivyo kutuabalisha kila kitu kinachoendelea
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  malecela yupo humo ndani amkumbuke mwanaye william?
   
 4. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata hivyo wakati wakijinadi, mbunge moja ameshindwa kuongea na kuishia kutetemeka huku sauti yake ikikwama . More story to come
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili lakuwa na wagombea zaidi ya 40 wakati nafasi zenye ni 8 i can smell something PCCB Plz Get prepared.

  Mytake: Wagombea wengi hapo ni dizani ya kina komba na wassira tu.
  Lets us be seriuos hapa ndipo wakenya wanapotupiga bao....sisi tunapeleka watu kwa kujuana na Mlungula instead ya kuangalia uwezo wa mtu katika issues relating to international trade,Negotiation skills,Policy etc......kuna watu kwasababu wanapesa za kuonga wajumbe basi wameshageuza ubunge kama fashion.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Acha kutuzingua sasa mbunge mmoja ameshindwa kuongea si umseme....
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Acha kutudanganya wewe, Malecela sio mbunge atakuwa ndani anafanya nini? Hana kura ya kupiga pengine mkewe Anna Kilango!!
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  vipi mdau wa Jf ktk kujieleza hajatuangusha mkweli?
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  labda huelewi mkuu

  mzee malecela alipewa nafasi ya kudumu ya heshima,kwa hiyo yumo
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  .... I can't imagine huyu dogo eti anataka kwenda kuwa mbunge wa EA !! Yaani ni sawa na Lusinde kutaka kuwa PM...
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hakuna nafasi ya kudumu katika Bunge. Labda kwenye chama ambako nako wazee wamepewa nafasi nyingine. Malecela alikuwa mbunge wa Mtera na watu humu wakafurahia aliposhindwa na Liv Lusinde kuwa mbunge na kumuangusha mzee wa watu. Watu rahisi sana kusahau, sasa munaona matunda yake anavurumisha matusi hadi kuwaponza waliomuingiza bungeni (CCM)....

  Ila naamini Mwikimbi alikua na maana Anne Kilango Malecela na kwa kweli anampenda sana William na wako karibu kama mwanae wa kumzaa. Najua Anne Kilango atampigania sana William. Tunamuombea kila la kheri, tunawaombea na wapambanaji wa ukweli kina Mrisho Gambo na Shyrose Bhanji.... najua CCM wanahitaji watu wa aina hiyo, kizazi cha mabadiliko si vijana wa kujipendekeza bila hoja ili kuweza kuhimili wimbi la sasa.
   
 12. K

  Keil JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  EL .... sijui!

  I hope uchaguzi huu hautakuwa kama ule wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambapo EL alionekana ku-dominate na ndio maana tukaishia kupata viongozi walamba miguu kama akina Serukamba na Mama Shelukindo ambaye aliweka wazi kwamba alianikiwa kwa nguvu ya EL.
   
 13. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hahahaha umenikumbusha mwehu Lusinde, kwani dogo naye chizi kama Lusinde? Binafsi simfahamu
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wacha wapeane ulaji
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa kalcha ya CCM hizo kura zilishachakachuliwa long time kitambo
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vipi Sioi Sumari yupo kwenye hicho kikao cha Wabunge wa CCM?
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo umepatia ,haya magamba unayajua sana na uovu wao!!
   
 18. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  hizi nafasi ni sawa hawa wabunge wanaripoti kwa nani au ubunge wa afrika mashariki unageuka kuwa lockup ya wale wenye vihere here .kenya wamejipanga wanaripoti kwa rais na maagizo yao yanatekelezwa hapa kwetu hali ikoje wakishaingia hwasikiki tena hadi muda wao uishe ndo utajua kumbe fulani yupo .
   
 19. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Ni pombe au akili yako??
   
 20. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kuna huyu mama aNGELA KIZIGHA, HUYU ALIOGOMBEA UBUNGE WA KAWE DADA HALIMA AKAMSHINDA, UKWELI NI KUWA NI FORM FOUR FAILURE, SASA NASIKIA YUMO KWENYE HIZO MBIO. 2010 ALITUMIA 300M KUTEULIWA NA CCM, ANA LINK KUBWA NA JESHI LLA POLISI, HASA MUUZAJI ZOMBE NA INASEMEKANA ALITENGEZA CHAPAAA YA KUELEWEKA KUPITIA MTU HUYU. SINTASHANGAA HUYU KUSIKIA KUPITIA CHAPAA AMBAYONDO LULU AU SABUNI YA CCM ANAWAKILISHA TANZANIA. AKINA MNYIKA KUWENI MACHO, AKIJA HUKO BUNGENI AJIBU MASWALI KWA ENGLISH HATUTAKI AIBU ZINGINE
   
Loading...